NINA JINI MAHABA ANANIFANYA VIZURI KIASI SITAMANI MWANAUME YOYOTE..HELP PLIZ

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi ni msichana wa miaka 29 , nina tatizo ambalo limenifanya mpaka sasa sijaolewa na umri unakwenda , nimekuwa nikisumbuliwa na jina mahaba huwa linanitokea usiku wa manane na kufanya mapenzi na mimi ..hali hii imekuwa kwa miaka saba sasa , na cha ajabu huwa tukifanya mapenzi katika hiyo hali huwa naridhika kabisa yaaani acha tu  kiasi kwamba wavulana siwapendi hata kidogo na wala sisikii raha nikifanya nao kiasi naishia kuwaacha..nimejaribu kuwa na boyfriends wengi tu ila mapenzi hayaduma naishia kuwachukia .....Umri unaenda nahitaji kuolewa ila siwapendi wavulana nawachukia sana.....nifanyeje ili niwe msichana wa kawaida na hili jina mahaba litoke ?

UdakuSpecially.com
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. give me your fb id, so that I can direct u wat 2do...

    ReplyDelete
  2. Hii ndo yenyewe au magumashi

    ReplyDelete
  3. Tuungane katika maombi ya kila siku kama uko tayar na Mungu ataonesha miujiza yake.

    ReplyDelete
  4. Sister hilo lisikupe shida...Mungu anaweza yote. Majini mahaba ni ving'ang'anizi kweli na inasumbua kwa muda mrefu sana...kama ulivyojieleza. Fanya maombi sana na watumishi wa Mungu waliosimama na hiyo hali itakwisha kabisa kwsababu hayana mamlaka ya kuishi na wewe. Yesu ni Bwana...Amen!!

    ReplyDelete
  5. Mungu anaweza...fanya maombi kwa kusimama na watumishi wa Mungu na hayo majini hutayaona tena. Jua kwamba zinakung'ang'ania a hayajapewa mamlaka ya kuishi na wewe...Ishi na mtu anayemjua Mungu utafanikiwa na Mume wako bado yupo haijalishi huo umri wako. Yesu ni Bwana milele yote
    ...Amen

    ReplyDelete
  6. just call me 0713159427

    ReplyDelete
  7. Muombe mungu dada atakusaidia.

    ReplyDelete
  8. Unaangaika bure hebu wasiliana nami nikupe dawa uachane na hilo jini ila shart ili zoez likifanikiwa inabidi uwe wangu. +255785172429

    ReplyDelete
  9. Nchi hii Ina wehu wengi jamani ila
    hawajijui tu

    ReplyDelete
  10. ENDELEA NALO SI LINAKUFIKISHA? LIAMBIE LIKUZALISHE.

    ReplyDelete

Top Post Ad