NISHA:NAY WA MITEGO HAKUNIPATA KIRAHISI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema hata kama msanii Nay wa Mitego akiwa na mpenzi mwigine kwa sasa lakini anajivunia kupendwa na kijana huyo kwani alihangaika sana kumpata.
Akizungumza na paparazi wetu, Nisha alisema Nay alimfuatilia kwa kipindi kirefu na alimzungusha kama miaka miwili kabla hata hajawa staa. “Nikivuta ile picha ya kumdengulia kiasi kile mpaka kuamua kumkubali, naamini alinipenda tu na hata kama hakunipenda lakini najivunia kwamba alihangaika kunipata,” alisema Nisha.
  Wawili hao walidumu katika uhusiano wa kimapenzi kwa miezi kadhaa kabla ya kuachana na kila mmoja akichukua ‘hamsini zake’.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wee demu nisha hayo ni maneno ya mfa maji haishi kutapatapa ,Ney kashakutindua Sana tena sana kwa fujo zote ,hata ujisemeshe lakini kashakumega kisela then kakumwaga ,ww nazi usishindane na jiwe KENGE WE

    ReplyDelete
  2. hahaha,ungejivunia km bd mko wote,mshamwagana unajivunia nn sasa?? Mburula we

    ReplyDelete
  3. Owkeeeeeeeeeeey..

    ReplyDelete
  4. Sasa kama alikufatilia muda mrefu c yanatuhusu nini?cha msingi ulimegwa ukaachwa kama kawa kama dawa."makahaba wenye viwango wapo bongo movie"nime nukuu msitari tu wa ney!

    ReplyDelete
  5. Bongo movie hizo ndo zenu kumegwa na kuachwa kwa upuuzi wenu,mkiambiwa makahaba mnanuna,sitoshangaa kujakusikia mtu mwenye bifu na ney naye anakula uroda

    ReplyDelete
  6. mademu wa bongo movie ni malaya sana baada ya miaka 5 mbele wengi mtakufa na wengine kuugua sana ni hayo tuu alafu huyo ney wa mitego mbayaaa mchafuuuu kweli wote hamna kiwango!!

    ReplyDelete
  7. kwl nisha umeishiwa sera yan kugongwa umeshagongwa hafu maneno mengi mi naona umeimic nn mashine ya wamitego mana duh bongo movie vicheche htr

    ReplyDelete
  8. kwl nisha umeishiwa sera yan kugongwa umeshagongwa hafu maneno mengi mi naona umeimic nn mashine ya wamitego mana duh bongo movie vicheche htr

    ReplyDelete
  9. C yana2husu nn? Na umri huo haya mambo hayana tena nafas kwako jipange dadang. Usisifie umalaya wako

    ReplyDelete
  10. nisha acha umalaya

    ReplyDelete
  11. Huna jipya mdada

    ReplyDelete

Top Post Ad