RAFIKI WA KIKE WA MCHUMBA WANGU ANA SHIDA..JE NIMSAIDIE?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waadau habari za wkend....
jana meshindwa kumjibu mdada ambae ni rafiki wa karibu na girlfriend wangu,alinipigia simu na kuniomba nimsaidie kiasi flani cha fedha amtoe kuna rafiki yake yupo polisi.
nilimwambia kuna kazi nafanya ntamjibu baadae....
kuna maswali nimejiuliza.
1.kwanini asipitie kwa rafiki yake ambae ni mchumba wangu?
2.nikimsaidia je gf wangu akija kujua si atajua tulikuwa na mahusiano kabla?
3.Nikimwambia gf wangu si ndo anaweza kuzua ugomvui kati yao?
4.niuchune tuuu.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?anajua kuwa uwezo wa kumsaidia unao.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Achana nae hiyo Malaya anataka kumpiga changa la macho rafiki yake,si mtu mwema kabisaaaaaaaa,Kama kweli unampenda girlfriend wako usimsaidie,

    ReplyDelete
  2. mwelize tu ukweli mwambie unapenda kumsaidia lakini unaogopa baadaye msichana wako akisikia ataweza kuwaelewini vibaya so amtume mke wako akueleze mweleze ukweli wa mambo
    unajua msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu

    ReplyDelete
  3. Mwambie ungependezewa kama angeliongea narafiki yake nakumjuza shida yake then rafiki yake ambaye ni mchumba wako na wewe mtamsaidia.Akikata mwambie huwezi msaidia !

    ReplyDelete
  4. Anataka kutombwa huyo.

    ReplyDelete
  5. Mie mwanamke najua wanawake wanavyopenda kuwaharibia wenzao ili waingie ndan wao. Usikubal hata kidogo hiyo ni gia ya huyo dada kumharubia mwenzio akiona mmetibuana afurahi. Mshauri gf wako. Bora shar kuliko shar kamili.

    ReplyDelete
  6. Kama muislamu wa kwueli msaada hauchagui mtu,kama kafiri mpende gf wako

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaona?yani waislam wanaushauri wa kupotoshaaaaaaa mi siwapendiiiiiii hawa watu,hakuna jema muislam atakalokushauri.Haya msaidie huyo rafiki baadae matokeo Yake yalete umu.tusome wana Udaku .

      Delete
    2. Lol! Hata makafir vile vile hatuwapendi tena sn ht mawazo yenu vile vile finyu

      Delete
    3. We muislamu unatiwa kubwa mshamba weee unaleta udini hapa..unaenda out of topic..mamayo zako...ningekuwa nakujua ningekuuwa..jasusi mkubwa.

      Delete
    4. Ndio maana ulaya ampendwi kwa roho zenu za kishetani.kinyama,kukatli.nyie kuua mtu ni kitu raisiii,Mungu mnayemuabudu sijui ni Mungu gani.amna Amani hata chembe,jehanam inawaongoja.

      Delete
    5. Ww unapendwa? Au kujishaua tu! Ww mwenyewe hujui ukiabuducho kuiga tu

      Delete
    6. Yaani waislamu nyie mna laana ambayo mwisho wake ni jehanam tuu..kika kitu mnajifanya wajuaji kumbe hamnjui kitu..especial wewe uliyeleta udini hapa...nataka ujue kuwa !! Sio waislamu wite ni magaidi ila magaidi wote ni waislamu...kumamayo zenu.

      Delete
    7. Kama ya mama ako

      Delete
  7. Chunguza kwanza kama hiyo shida ni ya kweli alaf ukigundua anza kushauriana na girfriend wako kama kweli unampenda. ucogope wao kugombana ilimradi we hautaachana na demu wako na atazidi kukupenda kwa kuwa umekuwa mwaminifu

    ReplyDelete
  8. Nipe namba yake nimpe hizo hela

    ReplyDelete
  9. Udini umetoka wapi tena jamani ,changieni mada husika habar za uislam na ukristo sio mahali pake jamani kwann mchukiane wakati wote tunaabudu MUNGU MMOJA ,,,swahiba mm nashauri mwambie unawza kumsaidia ila amweleze mpenzi wako kwanza yaani apitie kwa gf wako ili kama ana nia ya kweli utasikia majibu yake ,maana mm ishanikuta mke wa rafiki yangu aliomba nimuazime hela atanirudishia nilivyoanza kudai ile hela akamwambia mumewe eti nilimpa hela nilikuwa namtaka rafiki yangu akawa mkali baadae alivyokuja kujua ukweli ndio urafiki wetu ulirudi lakini nilijifunza kwann sikumuuliza mumewe

    ReplyDelete
  10. huyo aliochangia mada kwa kuleta uislam ameamua tu kuwatukanisha waislam kwa sababu swali halihusiani na dini na mimi nawaambia kuwa aliosema kuhusu uislam sio muislam sababu uislam hauruhusu girl friend wala boyfriend unaruhusu mume na mke tu na wake wanne huyu ni fala tu sijui wa wapi anasema mpende gf wako

    ReplyDelete

Top Post Ad