RITA PAULSEN"NAY WA MITEGO NI MSANII MBUNIFU SANA NAMKARIBISHA KUBURUDISHA BSS"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rita Paulsen hana mpango wa kumshtaki Nay wa Mitego kwa kuichafua Bongo Star Search kwenye Salam Zao. Infact aliusikia wimbo huo hata kabla ya haujatoka.Madam Rita alikuwa akiongea kwenye U Heard ya Clouds FM leo ambapo amezikanusha tetesi zilizopo mtaani kuwa amemfungulia kesi ya ‘defamation’ Nay kutokana na kuzusha kwenye wimbo huo kuwa washindi huwa hawalipwi fedha zote.
“Hata muda wa kuongelea hicho kitu naona ni wastage of time. He is not worth my time,” alisema Rita.
Hata hivyo, Madam Rita amesema Nay ni mbunifu na ametumia fursa hiyo kuimba wimbo uliokuwa gumzo baada ya kutoka.
“He is creative, big up to him, very creative you man.” Amesema hana tatizo kama Nay akiperform kwenye show hiyo na hata kama akiuimba wimbo huo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivyo. Haya mama timiza ahadi yako.

    ReplyDelete
  2. Mzee Machache anajua kuchagua watoto wazuriiii,Huyu na wenzie jokate na Jacky wazuriii

    ReplyDelete
  3. nay wa mitego ana kipaji gani??? ataaibika tuu!!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad