ROSE NDAUKA AANIKA MAJIBU YA UKIMWI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rose alitundika picha ya cheti alichopima ugonjwa huo katika Hospitali ya TMJ, jijini Dar kwenye mtandao wa kijamii kuonesha kuwa yupo safi na hana maambukizi ya Ukimwi.
Baada ya kutundika picha ya cheti hicho, staa huyo alisindikiza na ujumbe wa maneno kuonesha shukrani zake kwa Mungu.
“Namshukuru Mungu kwa kuwa nimepima na nipo fiti, hope waliokuwa wakinisema watabaki na vijiba vyao vya roho, watasonyaje?” aliandika.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo sio kusonya,uweke wazi majibu utakayopima tena natumai umeambiwa kurudi baada ya 3 months.

    ReplyDelete
  2. Baada ya miezi mitatu tupe majibu

    ReplyDelete
  3. Kwani wasanii hospital yenu ni tmj? Manake kila anayeanika majibu yake ni tmj? Kunani huko? Anyway,uko kwenye uangalizi wa miezi 3,so usimangemange,ukapata maambukizi kama hayapo,all the best

    ReplyDelete
  4. Dada unauhaba wa scandal,ila hi ya juz kati imekuchafuaje?

    ReplyDelete
  5. NON SENCE!!! WASANII WETU WANAPUNGUKIWA NA ELIM VICHWANI MWAO! OKEY TUMEONA MAJIBU!!!THEN AFTER....WAKUTONGOZE AMA??
    TINDIKALI

    ReplyDelete

Top Post Ad