SABABU ZINAZOWAFANYA WANAUME KUGEUKA WANAPOPOSHANA NA MWANAMKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Natumaini mu wazima wa afya njema.
hili ni swali linalonitatiza kila siku ni sababu zipi zinazopelekea mwanaume kugeuka na kumwangalia tena mwanamke mara tu wanapopishana mfano njiani
je ni sababu zipi zinazopelekea kutokea na
kuendelea kwa hali hiyo?
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Inye ndembendembe

    ReplyDelete
  2. Hakuna kingne zaidi ya bodi

    ReplyDelete
  3. All days itabaki kuwa hivyo cz mwanamke ni mfano wa ua zuuri kwa mwanaume pia kwa Mwanaume yeyote hata kama yupo na mkewe njian mybe akapita msichana lzima ageuke nakumtizama ! Hii inaashiria kuwa mwanamke ni ua zuri kwa mwanaume.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mume wangu akigeuka kumwangalia mwanamke kama tuko njian tutakutana tunakokwenda. Na huo mzik wake huko atajuta. Hii ni tabia inadhihirisha umalaya. Unageuka uone nin! Tamaa mbaya sana...na kufikiria ngono tu. Mbona wazungu hawako hivyo....

      Delete
  4. Umesha muangalia mbele unahakikisha na nyuma anaendana

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  6. Macho hayana pazia

    ReplyDelete
  7. tunaangalia pleti namba kama ni bdo Tz au ni hz mpya!

    ReplyDelete
  8. Haahaaa. ..na pia kama plate namba ni njano...yani private au nyeupe....yani usafiri wa uma?

    ReplyDelete
  9. Butt is a very sensitive part in a woman body...and it is the only part in which makes any man go horny...the only reason a man turn back when saw booty it z the physical part of the woman which turn his feelings on...so attractive..so sexy

    ReplyDelete
  10. Sijaona hii tabia kwa wazungu eti Nadhan ni tabia ya kufikiri ngono tu muda wote. Mim sigeuki hata kidogo.

    ReplyDelete
  11. Sasa,wazungu,wageuke,wanawke,wao,awana,ki2,atageuka,angarie,nn

    ReplyDelete
  12. Wazungu hamna ki2 cha kuangalia..

    ReplyDelete

Top Post Ad