SIKILIZA KIONJO CHA WIMBO MPYA WA LORD EYES ALIYOWA DISS OMMY DIMPOZ, NAY WA MITEGO NA IZZO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lord Eyes mnako anarudi na ngoma kali sana this time inaitwa “Roho Zinawauma” ambapo kionjo chake kipo hapa. Humo ndani kwa jinsi inavyosikika kama kuna diss ambayo haipo direct kwenda kwa Ommy Dimpoz ,manager wake,Izzo Business na Nay wa Mitego. Labda Lord Eyes alimaanisha kitu tofauti zaidi ya jinsi inavyosikika, so endelea kufatilia hapa kupata ufafanuzi wa mistari ndani ya hii ngoma ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni.
Hii ni baadhi ya mistari  inayosikika kwenye hii teaser hii.
Mtoto kweli una mitego, lakini weusi hatutegeki.
Emmy mwenye dimpoz meneja wako si….
Simwiti kilaza na mwita kidampa
Nini unapaka Izoo uso umeng’aa SIKILIZA HAPA:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad