TETESI:MANGULA, MSEKWA WAMPINGA NAPE MGOGORO BUKOBA, MGOGORO SASA WAHAMIA CCM TAIFA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nawapa taarifa hii ya awali kabisa kwamba hivi sasa ofisi za CCM Lumumba kunawaka moto kutokana na tamko la jana la Nape la kubatilisha uamuzi wa NEC ya KAGERA ya kuwatimua madiwani 8.

Mangula na Msekwa wanasisitza kuwa UAMUZI WA NEC ya mkoa ni halali na lazima maamuzi yaheshimiwe na kwamba TAMKO la Nape halina baraka la Chama taifa.

Bandugu,hii movie sijui inaishaje,CCM wanajipanga taifa na mkoa wameagizwa kutoa matamko mapya

Taarifa zaidi Tembelea  http://www.jamiiforums.com

Taarifa za kutoka kikao kilichomalizika punde

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad