google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html TV SHOW YA IRENE UWOYA! KUMBE NA MASTAA WAKUBWA WA BONGO WANAHUSIKA | UDAKU SPECIAL

TV SHOW YA IRENE UWOYA! KUMBE NA MASTAA WAKUBWA WA BONGO WANAHUSIKA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



OLYMPUS DIGITAL CAMERA
“Nafurahi kuona jinsi  kioo cha jamii hivi sasa kimeigusa familia kabisa, ukizungumzia nyumba unagusa swala la familia ambalo ndiyo msingi wa Taifa lolote.” Haya yalikuwa ni baadhi ya maneno ya Mtitu, mmoja kati ya watu maarufu ambao walihusika kwenye show ya Irene Uwoya. Katika harakati za kutengeneza kipindi chake, Irene amekutana na mastaa tofauti na kuzungumza nao mambo mengi ambayo yatakuwa kwenye show yake. Chukua time yako ya kuona jinsi ilivyokuwa na upate sababu nyingine ya kuangalia hii show kupitia @CloudsTV na pia unaweza kucheki promo yake hapo pembeni.

Mtitu wa 5effects
OLYMPUS DIGITAL CAMERA
ay
Ambwene Yesaya na Irene
jb
Jacob Steven “JB” kahusika kwenye show
ngaza
Mrisho Ngassa yupo kwenye show
nyerere
Steve Nyerere naye ndani
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad