UPDATES: SHEIKH PONDA ASOMEWA MASHITAKA AKIWA HOSPITALI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda amesomewa mashitaka ya uchochezi na Mwanasheria wa serikali, akiwa wodini MOI anapoendelea kupata matibabu. Sheikh Ponda arijeruhiwa Jumamosi iliyopita akiwa katika mhadhara wa Kiislamu huko mkoani Morogoro. Baada ya kujeruhiwa Ponda alilazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili kabla ya kuhamishiwa katika Taasisi ya Mifupa (MOI) aliposomewa mashitaka. Kesi yake itaendelea pindi atakapopata nafuu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. How far sure u a if he iz a terrorist 2juze ili 2jue!

    ReplyDelete
  2. haqi na batli azichanganyiki...slimu usalimike

    ReplyDelete
    Replies
    1. Rudi shule nyambafuuu umeandika nin hapo uko la kwanza ama

      Delete
  3. wewe unaetaka shekh ponda auliwe kwa kua gaidi hebu tukumbushe nini kinaendelea kwa yule mshatakiwa alie lipua bomu kanisani arusha. wacheni chuki zeni za kidini hizo zitakija kuwatokea puani siku moja.

    ReplyDelete
  4. He need to be shot he is a terrorist .mashtaka ya nini ?

    ReplyDelete
  5. Terorist unamjua mwanaizaya wewe?

    ReplyDelete
  6. Si muandike kiswahili kenge nyie sio kuchapia chapia hapa kama ponda wenu shule hamna kichwani nyambafuuu

    ReplyDelete
  7. Ww msenge unaejifanya umekwenda shule shule unaijua ww?hata akifa ponda tutaendelea kuwa imara na uislamu wetu sisi sio watu wa kuburuzwa utaishi kwa ndio!ndio!mbaka lini?1 day yes!

    ReplyDelete
  8. Mwenyezi ameshatujuza kwamba makafiri hhhawatupendi WAISLAMU, na haki yetu kwa makafiri hatutaipata kwa sababu wao hhawako radhi na UISLAM mpaka waislam wafuate mila za kikafiri kwa hiyo haki yetu ili ipatikane lazima tufuate sunna ya Mtume nayo si nyingine bali ni KUSHIKA SILAHA KAMA NI JIWE, KISU, UPANGA, SMG, AK47, AU NUCLEAR BOMBS NA TUWASZMBARATISHE HAWA AMBAO WAMEDHHHIRISHA UADUI DHIDI YETU WAZIWAZI, KAMA HATUTA FUATA SUNNA HIYO BASI UDHALILI HAUTAISHA NA MOTONI TUTAISHIA... NA MTUME HATOKUWA RADHI NASI TUISHIO KTK MIJI YA KIKAFIR KAMA YA TZ,

    ReplyDelete
  9. nyie mnaosema ponda ni gaidi hebu dhihirisha hapa ugaidi wake. na unanyosema auwawe je? ww utaishi milele? we nzio c e waislam hatuogofi kifo hata kidodo juu ya kuutetea uislam tupo radhi kufa kwa ajili ya dini yetu. na nijambo la kawaida.hata akifa ponda tupo wakina ponda wengi sana sa c jui itakuaje mnafikiri mkimuua ponda ndio mmeua uislam? hapo mmechemka . haki haipatikani kienyeji lazima upate misuko suko kama hii ya ponda inshaalah ipo c ku ambayo haina jina.makafiri hamtuwezi jamani subiriri tunapo kwendea huko tutaonana wabaya tutashindwa kuvumilia kwa kweli.

    ReplyDelete
  10. hoja zenu wengi ni za udini,hazina tija kwa taifa. acheni hizo.

    ReplyDelete
  11. Matako ya nyoka!unaacha kuwaza mambo ya maana unakalia usenge,kafiri ni wewe na mwalimu Wako Ponda,mashoga nyie!watu mna njaa afu unakaa kuwaza uislam na ukristu utakusaidia nini matako wewe?fanya kazi kumamayoooooo!

    ReplyDelete
  12. hebu tuangalie kinachotokea huko cairo,naowalianza kama hv.ukichanganya siasa na dini,basi amani haitapatikana tena,na hawa watu wanaotumia neno kafiri,inaonyesha nijinsigani walivyo stupid.wekama hutaki shule unashinda kwenye mikutano yakina ponda,basi ww nakizazi chako mtakua watumwa wahawa makafiri paka sikuyamwisho...hili halina ubishi mpumba kamwe hawezi kumwongoza mwerevu.

    ReplyDelete
  13. waislam humuonewi bali niupeo mdogo wakutambua uislam unawafundisha nini kamamtawasikiliza watu kama ponda na wenzie, basihamtakuja jua tatizo lenu lipo wapi.hivi hawa wakristo naowangekua wanawehuka kama sisi ungekua so' bado namunga mkono [BONGO] bilashule basi itaku dua lakuku......

    ReplyDelete
  14. KWELI UMWINYI NDO UNATUFANYA TULALAMIKE BILA KUJUA TATIZO LIKO WAPI,WAZEE WETU NAO WAMECHANGIA SANA.NILISIMAMISHWA SHULE KWAMAMBO AMBAYO HAYANA MSINGI,SASA NACHAPIKA NA WAZEE WANANITEGEMEA KWAKILA KITU-WENZANGU WALIMALIZA CHUO WANAKULA KIULAINI MIE NAHANGAIKA NAMAKANZU YANGU KUTAFUTA RIZIKI MADUKANI.TUFATE DINI INAVYO SEMA TUSIPOTOSHE UKWELI,PONDA ANAPEWA PESA SIO MJINGA YULE.JE WEWE UNAPATA NINI?

    ReplyDelete
  15. Ni ishu kubwa,naskia kuna vikao vinaendelea ikulu kuhusu pond a,busara inaonyesha mashitaka yatakufa,hivo si vema kuhukumu mtu yeyote kwa sasa,huenda aibu ikawa yako.

    ReplyDelete
  16. Daaaaaaah!! Shule muhimu!

    ReplyDelete

Top Post Ad