WASTARA ATOA SIRI ZA SHIJA KUMTAKA ILA AKAZIDIWA KETE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada Wastara ametoa siri ambayo alikuwa hajawahi kuizungumza katika maisha yake ya uhusiano, kisa hicho kinachofurahisha kinahusu maisha yake na marehemu mume wake na sababu iliyomfanya afunge naye ndoa.

"Unajua Shija domo lake lilikuwa zege kumbe alikuwa ananitaka lakini akashindwa kuongea hadi mwenzake Sajuki (marehemu mumewe) alipotuma maombi na kusikilizwa, Baada ya Sajuki kukamilisha kila kitu na kuwa mke na mume ndiyo aliponitonya  kuhusu habari ya Shija kuwa wakati wananifuata kumbe alikuwa ananitaka ila marehemu Sajuki akawa mjanja." alisema Wastara


Shija mweneyewe anasema kuwa wakati huo alipokuwa anamtaka Wastara yeye alikuwa makini na kazi hasa utayarisshaji wa filamu na suala la mapenzi lilikuwa la ziada
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Shija kubal ulikuwa domo zege usitoe reason.

    ReplyDelete
  2. Sa inahusu nini!had myaongee leo au ndo nyege zishaanza kusumbua?akakulale basi c sajuki hayupo.ovyo kweli mastaa nyie.

    ReplyDelete
  3. Shida ni kuwa mtu ukimpenda sana unaweza shindwa kwa muda fulani kumweleza yaliyo moyoni juu yake.Kwa siwezi kumshangaa huyu,ukimuuliza anaweza akasema hivyo.

    ReplyDelete
  4. Saa ndo nn ujinga mwingine bhana nimejua kitu cha maana

    ReplyDelete
  5. INAHUSU AU NDIO UNAMTAKA!!!! WASTARA MJINGA SANA

    ReplyDelete

Top Post Ad