AMANDA:SIWEZI KURUDIA MATAPISHI HATA SIKU MOJA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Gladness Mallya

STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi  ‘Amanda’ amefunguka kuwa hawezi kurudia matapishi yake kwa kurudiana na aliyekuwa mpenzi wake, Joseph Rashau ‘Bwana Misosi’.

Akichonga na paparazi wetu muda mchache baada ya wadau kibao kumtaka mwanadada huyo arudiane na mpenzi wake huyo kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook, Amanda alisema tayari ameshapenda kwingine hivyo hapendi kumzungumzia mtu aliyeachana naye pia hana tabia ya kurudia matapishi yake.


“Siwezi kurudiana na Misosi kwani nikishaachana na mtu basi ninamtoa moyoni mpaka mdomoni nikiwa na maana sina muda wa kukaa na kumzungumzia ndiyo maana hata wadau waliokuwa wakinitaka nirudiane naye sijawajibu chochote,”alisema Amanda.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mapenzi yakumuonesha kila mtu kwa muda mchache toka mjuwane huwa hayadumu au huwa namatatizo kila kukicha. Nililiona hii kwa Amanda na Misosi, alafu jiulize why unaweka picha za mwanaume wako kwenye Facebook but yeye hata siku moja hajawahi kuweka picha yako kweke!? Jibu ni kwamba mpo wengi..lol. # Girlcode

    ReplyDelete

Top Post Ad