TIMU YA AZAM FC YAILAMBISHA SIMBA KONI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mshambuliaji wa Azam FC Kipre Tchetche akipambana na Issa Rashidi"Baba Ubaya" wa Simba FC.

Timu ya Azam imeichapa  timu ya Simba ya Jangwani kwa mabao 2-1 leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye muendelezo wa mechi za ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.Bao la Simba lilifungwa na Ramadhani Singano na mabao ya ushindi ya Azam yalifungwa na mshambuliaji wao hatari kutoka Ivory Coast Kipre Tchetche.Kwa ushindi huo Azam inaongoza ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hahahahahah chezea azam wewe,simba tumewapakata na cola tumewanywesha.

    ReplyDelete

Top Post Ad