BATULI AFUNGUKA KUHUSU MADAI KUWA IRENE UWOYA ANAMUENDEA KWA WAGANGA ILI AMPOTEZE KWENYE FILAMU

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku za Hivi karibuni kumekuwa na tetesi zisizo rasmi kuwa mastaa wawili wa filamu Swahiliwood Yobnesh Yusuph(Batuli) na Irene Uwoya hawana maelewano mazuri chanzo kikidaiwa ni Irene Uwoya kutaka kumpoteza Batuli kwenye tasnia ya filamu ili asifurukute. Habari hizo zinaenda mbali zaidi zikidai kuwa kuna kipindi Batuli alikuwa anaumwa maeneo ya kifuani lakini baadhi ya watu wakiwemo wasanii wenzake wakiamini Uwoya ndiye kamfanyia mambo ya kilozi(ushirikina). 

 Tetesi hizo tulizipuuza mwanzoni lakini zinaonekana kurudi tena kwa kasi hivyo tuliamua kuwatafuta mastaa hao wawili ili watoe ufafanuzi wao wenyewe na wa kwanza kuulizwa alikuwa Uwoya hata hivyo namba yake ilionekana kutokuwa hewani alipotafutwa juzi na jana alipotumiwa ujumbe namba yake ilionekana bado haipo hewani. Batuli nae alitumiwa ujumbe juzi kuhusu issue hiyo lakini hakujibu mpaka jana usiku ndiyo alijibu akisema alikuwa busy sana. Batuli alisema "sina ubaya na msanii yeyote na moyo wangu ni mweupe na nina mapenzi na wasanii wenzangu wote, nawapenda sana anayeniwinda kwa ubaya Mungu atanipa ulinzi wake, sipendi uadui na mtu namuachia Mungu atanilipia yote"

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Batuli wewe ni mzuri sana ila kiukweli hunaga nyota kabisaaaa na inabid ukubaliane na hali hiyo utashika watu wengi uchawi ila ukweli ni kuwa nyota yako ni ya masizi...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  2. NYIE MANGE KUACHANA NA WALE MASHOST ZAKE KAMA VILE KAWAPA BARAKA.
    SASA HIVI KIKI ANA MARAFIKI WENGI TENA WA MAANA.
    PICHA ZA FOUNDTN YA FLAVIANA MATATA. YAAN FULL KUSAPOTIANA.
    MANGE NAKUONEA HURUMA MASIKINI.
    NDIO UPUNGUZE MDOGO WA KUGOMBANA NA KILA MTU.
    UTAKOMA

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe naye habari za mange wako usituletee humu ishu ni kuchamba irene uwoya na batuli upo bi mkora??...Tunda la msimu

      Delete
    2. ni kweli kabsa, mange alikuwa anawaharibia kweli.

      Delete
    3. inahusu nin wanawake matako meusi kama uvungu wa pumbu eti kuachana matako yako fanyeni yenu wanawake wa mjin achen umbeya mwenzio yupo wake we unajitia stress

      Delete
    4. we unatuletea habari za mange kuma yule za nini humu.

      Delete
  3. ALAFU TEDDY KALONGA KAPATA SHAVU LA KUIGIZA HOLLYWOOD, HONGERA SANA TK, MUNGU AKUZIDISHIE BARAKA TELE.
    NA KITOTO CHAKO KIZURI SANA NA HUBBY WAKO PIA.
    ENDELEA KUTUWAKILISHA WATANZANIA.
    ANGEKUWA MWANAFUDENGE DAR NZIMA INGEJUA

    ReplyDelete
    Replies
    1. hongera teddy

      Delete
    2. kweli.mdu unachekesha umeandika habari za mange alafu umekuja huku umeandika mambo ya teddy acha uchonganishi kuku wewe.

      Delete
  4. ebu achen kumchafua uwoya wangu

    ReplyDelete
  5. lisemwalo lipo.kama kweli irene unafanya hivyo acha kabisa wanga wako

    ReplyDelete
  6. mm nakuonga mkono aliye toa comment no. 1 batu ni mzuri kweli lakini nyota yako haingaiiiiiiiiiiii! hata na mm huwa sikuelewe elewi katika kuigiza kwako mama batuli. Acha kumsingizia Mama Crish (uwoya)

    ReplyDelete
  7. sema basi tu Uwoya ndo hivo kaacha kuigiza au kapumzika kwa mda! hata robo BATULI humfikiii UWOYA! cha kujitafutia kiki kutoka kwa UWOYA!

    ReplyDelete
  8. mwenzangu anatafuta kick kwa lazima aende zake huko kwanza hana lolote anatoka na bosi wake asiyejua nan??ukome kumfuatilia uwoya

    ReplyDelete
  9. Batuli huna nyota ya kupendwa yaan ww na irene ni kama jokate na wema soo acha kuwa na fikra potofu hupendwi Batuli........team Wemaaaaa

    ReplyDelete
  10. Dadaddki uwoya ni mzuri kuliko,wema,joket,batuli,peny,lulu,

    ReplyDelete
  11. Hyu nae anapenda magazet maan haipit wiki bila kusema utumbo wake sijui kapat bwana mwandish wa habar....sasa ww na uwoya wap na wap matako wee.....jipange san mpk umkute uwoya afu tukiwaalinganisha ww na uwoya we ndo umekaa kiwanga wanga tu,usipoend kwa mganga utajuje kuwa umelogwa acha kusaka umaarufu kwa njia mbaya

    ReplyDelete
  12. amejuaje kalogwa kama na ye c mchawi

    ReplyDelete
  13. batuli belive in allah mamy,

    ReplyDelete
  14. Nampenda batuli but Irene nampenda zaidi......ila kwa kiasi fulani batuli alivyoibuka kama anamuiga uwoya hata kuvaa.....ni mtazamo tu...

    ReplyDelete
  15. Huyu Batuli anatafuta kiki tu hapa town,mama wa watoto wawili baba tofautializaa na Kelvin Msanii miaka hyooo hakufanikiwa kutoka,Kanumba kamtoa ktk 'Fake smile' na penyewe hakutoka kiivyo,kazaa na m'baba mtu mzma mtoto anaitwa Malima na penyewe hajakick sasa kaamua kujilogesha hahahaaaaa Batuli kwanza kawaombe msamaha mama zako wado Mwanza,uliwakana siku ya msiba wa mamaako eti huna mama wadogo weusi kisa ww umetumia mkorogo..laana hyo binti...Shule yenyewe magumashi utajilinganisha na mtoto wa kishua na kati ya Mbezi jirani na Belinda Hotel a.k.a Irene Uwoya..hahahaaa kaogeeeeee Batuli.

    ReplyDelete

Top Post Ad