NIMETOKEA KUPENDANA NA DADA WA MPENZI WANGU...NAOMBA USHAURI WENU BAADA YA KUSOMA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mimi nilikuwa na mpenzi wangu kwa miaka 6 lakini hatujawah sex sababu yeye alikuwa anakaa mkoa mwingne na akija dar kwa dada yake anabanwa sana so tukawa hatuna muda wa kusex lakini tulikuwa na ndoto za kuoana na alikuwa ananiambia yeye bikra, lakini mwezi wa 8 mwaka huu dada yake akaniambia kuwa mdogo wangu ni malaya ni ana wanaume wengi hata cm uliyo m2mia kahonga na bikra hamna, ikabidi nimbane dem wangu akakubari yote akasema nisamehe nitaachana nao wotee nakupenda wewe, nikamsamehe imepita week dada yake ananiambia leo tena amemuona na wanaume wake, sasa mimi nikamuacha nikawa nawasiliana na dada yake sana kwakweli mawasiliano yakanoga c tukajikuta tunapendana  tukatongozana  dada yake anasema yeye bikra na anakuja dar mwez wa 12 lakini dada mtoto wa baaba mkubwa na mdogo sasa tunapendana lakini mdogo weake amejua na wana bifu   NAOMBA USHAURI WENU NA MJAJI PIA

Regards,

raymond kaswiza


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo dada mtu yeye unayajua yake maana ya mdogo wake unayajua, tumia akili na usiwe mvivu wa kufikiri

    ReplyDelete
  2. ugomv wao ww haukuhusu,angalia mapenz hapo km kwel anakupenda na yy cyo malaya chukua huyo,huyo ndo waukwel#mdau

    ReplyDelete
  3. hana lolote huyo alikuwa anakutaman kila ck

    ReplyDelete
  4. Ww unaeomba ushauri nina uhahika kabisa ni fala na una muonekano na swaga za kifala mnoo ndo mana hawatumii nguvu nyingi kukudanganya mana we kila mtu anakwambia ana bikira fala au na ww bikira so unamtafuta bikira mwenzio mtoane? Hebu acha kuleta story za kipuuzi hap kawaombe ushauri mabikira wenzio fala we.

    ReplyDelete
  5. we mwenyewe bikra unayo au unang'ang'ana tuu ana bikra? maana wanaume mna tabia kutaka kuvunja ngome za wenzenu wakati nyie zenu hta ukumbuki ni nani aliitoa!!! hovyooooo.

    ReplyDelete
  6. yaani wewe unaonekana kabisa kahaba la kiume!!! kaombe ushauri kwenu huko pumbavu kbsaaa!!! dada ni dada tuu haijalishi wa baba mkubwa na mdogo au wa tumbo moja!! ni ndugu tuu hao sasa usitake kuwawekea uhasama. peleka ukahaba wako kwingine

    ReplyDelete
  7. We kweli mkundu....

    ReplyDelete
  8. Wote malaya hao, hapo hakuna bikra walanin, kamavp we piga mzigo ili upunguze machungu

    ReplyDelete
  9. My God x 9. Jamani matusi hayo.

    ReplyDelete
  10. Ulipowatongoza uliomba ushauri we bwege nini. Ungekuwa mjanja hizo bikra zao ushatoa siku nyingi nakujua mke ni yupi fala au isimami unawatangazia wajanja wakale ngoma

    ReplyDelete
  11. oyaaah umekosea sana inaonekana wote hana akili hata kidogo,angalia wao ni ndugu hujui wakikutana wanaongea nini, waweza ukaondoka na 1/2 kilo

    ReplyDelete
  12. Pigaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.........


    ReplyDelete
  13. tombaaaaaaaaaa kaka malaya 2uu haoooooooooo

    ReplyDelete
  14. Mawili anakucheka coz anajua unampenda kweli mdogo wake,so ajapenda may be kulingana life style yake ni malaya so hapendi kuona ndugu yake anatulia na mmoja.atawagombanisha utakosa vyote kuwa maseke.

    ReplyDelete
  15. We admin Acha kuiba picha za watu instagram na kuzitumia hovyo bila idhini yao!kila cku unaweka picha za watu na story za kuomba ushauri za uongo wakati umetoa hii picha instagram na cyo hii tu hata nyinginezo! Kuwa mstaarabu

    ReplyDelete
  16. Huo ni ijinga........na huyo dada alitaka umpende yy ndo maana alifanya juu chini kulia kushoto uachane nae......................

    ReplyDelete

Top Post Ad