DIAMOND "SIWEZI KUSAHAU DADA WA KWANZA NILIYEMUOMBAGA TUSHOOT VIDEO ALINIJIBU SIWEZI SHOOT NA MA UNDERGROUND"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika 
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi 
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
 wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
 na kukubali kushoot video na mimi na
 hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
 kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni

 mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009  BestRnBSongof TheYear2009


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Diamond tumekusikia,sasa la msingi kama huyu dada hayupo kwenye ramani mfanyie kitu cha kumshukuru hata kimya kimya ili naye awe anakukumbuka daima. Hongera kwa kukumbuka ulikotoka.

    ReplyDelete
  2. http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827.. Make money online

    ReplyDelete
  3. Bora hata ungetoka na huyu na wala sio peny my ass kibibi kimekomaa mpaka mate yanadunda

    ReplyDelete
  4. Do something good to her pls

    ReplyDelete
    Replies
    1. Amfanyie nin kashapata mabuz wenye hela life inasonga mxoiiu

      Delete

Top Post Ad