DOGO JANJA"NAJUA YATASEMWA MENGI KUTOKA KWA OSTAZ JUMA....ILA NIMEKUWA MKUBWA NA SASA KUPELEKWA PELEKWA TENA SITAKI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Janjaro msanii kutoka Arusha lakini makazi yake yapo Dar amefunguka na DJCHOKAblog kuwa hajafukuzwa na Ostaz Juma Namusoma kwenye kampuni yake ya Mtanashati bali amejitoa mwenyewe kwa hiari yake. Janjaro amesema amechoka na matendo tu ya Ostaz na alikuwa tu akiyavumilia lakini kwa sasa ameshakuwa mkubwa so nataka nikae kivyangu vyangu nifanye mambo yangu kama wasanii wengine ambao hawana meneja na wanafanya poa. Namnukuu Janjaro akisema....

 "Najua yatasemwa mengi kutoka kwa Ostaz Juma ila mimi ndio uwamuzi wangu, kuna watu wanasema sina utovu wa nidhamu lakini hao watakuwa wananijua sasa hivi hawajanifuatilia kutoka nyuma. Hata mtoto mdogo atakuwa mtundu ila akiwa mkubwa hunyooka na kuwa mtoto mzuri sasa nimekuwa mkubwa na kupelekwa pelekwa tena sitaki, kwa maelezo zaidi Ostaz Juma aongee na wazazi wangu asiongee na mimi"


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe Mtoto mbagi kunywa ndio kukua hao wanakusaidia ili ufanikiwe na wewe unasema nimekua shule huendi kwakisingizio chakuwa mkumbwa haya unayo nyoshwa sasa kama huachi utakuja kuyajutia huko mbele, maana utakuja kuaza kutumia madawa ya kulevya Mtoto mtoto achana nahayo utakuja tamani kuwa katika hali hiyo wakati madawa ya kulevya yamekufanya zezeta

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu ni kweli atakuja jutia sana mbeleni na muda atakuwa kashaupoteza ungetulia ikadoma tu muzik upo tu

    ReplyDelete
  3. Dogoo...! Em acha izo bhana em jifanye fala temporary ili mamb yaje yawe pwa bhana.,coz nakshangaa sn kuona wanakuhelp den unaleta masharuz eti umekua.,umekuwa kw lip....? Em rudi ukale kitabu 1st bhana.

    ReplyDelete
  4. Pumbavu kabisa huyo Dogo,xkul imemshinda anakalia usenge tu,wanzake waliokataa shule kina Blue hawaoni walivyo,Muziki Bongo?

    ReplyDelete
  5. Dogo fala iweje wewe tu kila muda mara Madee akukimbiz na sasa hv Ustaz Juma we hujiulizi why me... inamaana huna shida kasome kwanza.

    ReplyDelete

Top Post Ad