AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwa mujibu wa staa huyo, alifanyiwa kitendo hicho cha kuvuliwa nguo zote na maofisa wa uhamiaji mara alipotua Uwanja wa Ndege wa Hong Kong na kumsachi kwa kuhofiwa kuwa amebeba ‘unga’.
Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Devota alisema baada ya kuvuliwa, alishikwa sehemu zake za siri kitendo alichokiita ni cha kidhalilishaji.
“Ilikuwa ni baada ya kugongewa pasipoti yangu nikaingizwa kwenye kitengo cha polisi wa madawa ya kulevya ambao walinitaka nivue nguo zote ili nikaguliwe,” alisema kwa masikitiko.
Msanii huyo alisema mbaya zaidi siku hiyo alikuwa katika mzunguko wake wa mwezi lakini maofisa hao hawakujali.
Kama vile haitoshi, Devota alisema kuwa, baada ya kumalizika kwa zoezi hilo maofisa hao walimchezea sehemu za kifuani huku wakimwambia kama hakutaka kufanyiwa hivyo angerudishwa alikotoka.
“Kwa kweli nimeumia sana kwa kitendo nilichofanyiwa, nimeshinda nikilia kutwa nzima na kila nikikumbuka naumia,” alisema Devota.
Udaku Specially Blog
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wachina hawafai lazima wamemtia vidole dadae2
ReplyDeleteduuh,pole txana dada angu!
ReplyDeletebongo move wote malaya hao
ReplyDeletepole sana dada yetu.....
ReplyDeletesawa sawa maana hamuaminik nyinyi
ReplyDeleteSa unasem ili iweje ili 2jue ka umeshikwashikwa uko nikutafut umarufu ili 2jue kwamb na we ua unaenda china pumbavuuuuuuuuuuuuuuu........... na wangekutomba kabisa malaya wewe next tim utupe na pich
ReplyDeletehahahahahahahahaha napita tu jaman
Deletemsenge we kuvuliwa nguo haitoshi wangelegea mkundu maana ume zidi umalaya bongo movie
ReplyDelete