HEMEDY PHD NDANI YA PENZI ZITO NA MREMBO MCHEZA VIDEO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hemedy Suleiman ambaye ni star anayetamba Swahiliwood na pia katika muziki wa Bongofleva anatoka kimapenzi na Zuhura Gora ambaye ni model na pia mwigizaji wa filamu akiwa ameigiza filamu kama vile The Beauty Fools. Chanzo makini kilicho karibu na wawili hao kiliiambia 
Swahiliworldplanet juzi kuwa ni muda kidogo wawili hao wapo katika penzi zito ingawa wengi wakiwemo mashabiki wao hawajui."sikia nikuambie lakini usinitaje, Hemedy na Zuhura ni wapenzi na muda wowote wakitangaza ndoa msijemkashangaa" kilisema chanzo hicho

Hata hivyo mtoa habari huyo alisema kuwa Hemedy bado kama anajifichaficha kumuweka hadharani Zuhura ili kila mtu ajue kuwa ni wapenzi huku Zuhura akijisikia huru kuwa na Hemedy kama boyfriend wake. " but unajua bado Hemedy kama hajawa tayari kumuweka hadharani Zuhura kama mtu wake lakini Zuhura yuko peace sana na relationship yao" kilimwaga data chanzo hicho. Zuhura alipotafutwa leo na Swahiliworldplanet ili kudhibitisha habari hizo alikubali kuwa ni wapenzi yeye na Hemedy kwa kujibu kwa ufupi "Yeah ni boyfriend wangu"


Zuhura ambaye ni model mwenye vigezo vyote vya kuwika kimataifa katika tasnia hiyo tayari ameonekana kwenye video za wasanii wakubwa wa Bongofleva kama vile Kamili Gado ya Profesor Jay.


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hemedi hayupo open coz anajua anapita tu,na Zuhura sio wife material mwanamke anayejal utu wake wa ukike hawez jianika na chup vile inshorty wote wana akil sawa

    ReplyDelete
  2. Shoga 2uyo,jana nimehakikisha jinsi alivo mburura.

    ReplyDelete
  3. cdhani kama watafika mbali!

    ReplyDelete
  4. HUYO SHOGA TU,NDO MAANA AKIWAGA PALE SAMAKISAMAKI YA M/CITY,HUWA ANAINGIA CHOO CHA MADEMU KUJIREMBA,KILA WAKATI ANANYANYUKA NA KUELEKEA CHOONI KUKOLEZA PODA USONI! NA HUYO DEMU NAE NAMSHANGAA KUKUBALI MTU ANAYECHAPWA NAO KUWA ETI NDIYE BWANAKE!

    ReplyDelete
  5. shoga tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  6. Huyo ana PHD ya pumba.

    ReplyDelete

Top Post Ad