UVUMILIVU WAMSHINDA IRENE UWOYA NA KUANZA KUVURUMISHA MATUSI MTANDAONI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“...Wale ma-(Tusi linalohusisha kiungo cha mwili) wanao post (Tusi kama la hapo mwanzo) humu...waaandike watakavyo...sio (Tusi- vitendo vibaya kwenye jamii) tuuu yan na vza yakuzunguka dunia nzima....siitaj watu ma-(Tusi kali sana)...kama na kuboa kafe mbele....eti range nimehongwa mtasubiri sanaaaa....sina mdaa huo sinaaa...wakukaa pemben na kumsmanga mtuuuu...wote mnao ni disss ma-(Tusi la kumalizia sentensi)...
Hayo ni maneno ya mwadada Irene Uwoya aliyoaandika usiku wa leo hii kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii. Tulipoyasoma tuu, tulishtushwa sana kwani si kawaida kwa mwanadada huyu kuandika maneno mzito kama haya na ndipo tulipoamua kufanya utafiti yakinifu ili tujue why??? Na haya ndo majibu ya uchunguzi wetu huu…
Tujikumbushe Historia fupi
Hivi majuzi mwadada Irene Uwoya alipost kwenye mtandao picha za gari yake mpya aina ya Range Rover na ndipo watu wengi walianza ku-comment na “kumponda” mwanadada huyu kuwa sio yake bali kahongwa na wanaume “wanaomuweka mjini”
Irene akajibu
Siku si nyingi baadae Irene aliwajibu kwa kusema kuwa gari hiyo ni yake na wote wanaosema kahongwa watasubiri sana maana hiyo ni matokeo ya jasho lake
Msiba wa baba yake wema wahusishwa
Kwa bahati mbaya mwanadada Wema Sepetu alipata matatizo ya kufiwa na baba yakehivi majuzi na ndipo zikatoka tetesi kuwa ETI mwanadada Irene pamoja na kundi jingine la mastaa Fulani wamesusa kuhudhuria msiba huo kwa madai kuwa Wema huwa hashiriki misiba ya wengine
Mashabiki wa wema wamjia juu
Baada ya mambo hayo yote hapo juu ndipo kundi la mashabiki wa wema walipoanza kuandika kwenye ukurasa wa mwanadada huyo, wakimutukana na kumponda sana eti hilo gari sio lake bali kahongwa na jamaa mmoja hivi (Jina tunalihifadhi kwa sababu za kiusalama) na hivyo asiwadanganye wananchi mambo ambayo si kweli
Uvumilivu ukawa mchache kwa Irene
Baada ya matusi na maneno mengi ya kejeli toka kwa mashabiki hao kumzidi Irene hatimaye ndio ameamua kuandika hayo hapo unayoyaona juu. Daah, hatari sana mjini hapa ukiwa staa.
-Bongomovies.com

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nawenyewe kama wanaweza si waongwe tuone wivu tu. na watakomaje songa mbele mamaa.

    ReplyDelete
  2. Hivi matikibokoyao ni mwehu et maana haogop mtu nampendajeee

    ReplyDelete
  3. Yaani nampenda Irene Uwoya nimzuri huyu dada ila hajijuwi tu!

    ReplyDelete
  4. mdada matusi kama choo.
    wewe irene utashindanaje na kina matiki na dougie, kweli hamnazo

    ReplyDelete
  5. Wanawake mnataka usawa wakati mikuma yenu immeiyoa waziwazi mtombwe ile mhongwe vitu hamna tofauti na machangudoa. Tutawatomba sana na kuwaacha malaya nyie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaposema wanawake una maanisha mpaka mama yako mzazi...Aunty yako..Dada yako and bibi yako au?

      Jaribu kuheshimu wanawake !

      Delete
    2. Safi sana umenena!!

      Delete
  6. Mwacheni MATIKIBOKOYAO yeye ni msema ukweli

    ReplyDelete
  7. Mbona wengine wanafirwa kabisa wanaishia kununuliwa simu mwacheni mwili ni wake na nyie vyenu havina hadhi yakuhongwa range.Wivu utawaua mtaishia kuachiwa ngoma tu

    ReplyDelete
  8. mmemuona yeye tu aliyehongwa?? ukweli ni kwamba 85% ya wadada wanaotembelea matako mjini wamehongwa.. y mumsimange yy...?

    ReplyDelete
  9. Kuhongwa co tatizo wala watu hawamuomei wivu coz ni TAKO lake yy limefilwa na huyo jamaa akaridhika nalo akaamua kumpa hiyo Range ila tatizo ni kwamba anajidai kua amenunua kwa pesa zake na kuiweka mtandaoni hapa anatishia watu kwa mali ya kufilwa inatakiwa atulie tu aendelee na maisha yake co kujishaua kwenye mitandao.

    ReplyDelete
  10. Ulivyo na matuc yako...vi2 2 tofauti...ucrudie tena naiwe mwanzo na mwisho kujiita we kioo cha jamii..domo chafu ka uchi wa changu....lol...em igamfano kwa wenzio km wema,diamond,ray,na wengine kbao...mbona wanatukanwa,wanadhalilishwa kila kukicha bt hawaja wahi toa huo utoko midomoni mwao...? Msanii ni km shimo la taka,linatupiwa vsafi na vchafu pia...bi dada staha huna...yaani ziro kabisa...hata mabwana zako wanashida kwa domo hilo khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................kaa pembeni mwaya katauti hili ni gube gube lililowashinda mitume...

    ReplyDelete
  11. Naogopa tu yasiwi ya damas na jackline

    ReplyDelete

Top Post Ad