JOKATE "KWA ZAIDI YA MWAKA MMOJA SIJAFANYA MAPENZI"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hii ni mara ya kwanza kwa Jokate Mwegelo kuongelea mambo ya chumban...

Maongezi hayo yalifanyika kati yake na Millard Ayo ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM.Katika maongezi hayo, Jokate naye ameeleza jinsi anavyosumbuliwa kutongozwa na mamia ya wanaume kwa siku 


Yafuatayo ni maongezi yao: 

Millard Ayo: Nini kimekufanya ufunguke na hizi info ambazo hujawahi kuzizungumzia na mara nyingi umekua ukigoma kuziongelea kwenye media?

Jokate: Nahisi kwa sababu watu wanazidi kuizungumzia na wanaizungumzia sivyo, hawazungumzii kiuhalisia na kiukweli inanisumbua ndio maana nimeamua kusema kitu kidogo alafu niufunge huu ukurasa.

Millard Ayo: Imekua ikikusumbua kwa mda gani?
Jokate: Kwa muda mrefu, toka mwaka jana… kwenye facebook watu wanatoa comment na najua kabisa watu hawajaelewa hili swala na mimi sipendi mashabiki wangu kutokunielewa.

Millard Ayo: umewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Diamond pamoja na Hasheem?
Jokate: Hahahahahhaha !!!! Yeah..

Millard Ayo: Uhusiano wa nani kati ya hawa wawili ulidumu kwa muda mrefu?
Jokate: Wa Hasheem.. karibia miaka miwili mitatu

Millard Ayo: Na wa Diamond?
Jokate: Oooh kipindi kifupi sanaaa, sijui mwezi sijui miezi miwili… kidogo alinipa tabu, ila kiukweli nilitaka tu kwa sababu kuna watu wengi walikua wanasema Jokate yani vurugu, unajua sio kila kitu unachokisikia ndio chenyewe na media saa nyingine inapenda kuandika vitu ambavyo sio vya ukweli au wanaviwasilisha sivyo.

Millard Ayo: Sasa hivi uko single?
Jokate: Yeah, kwa muda mrefu tu niko mwenyewe alafu saa nyingine wananisumbua sana tena wengi tu, lakini nafurahia kwa sababu naweza kufocus kwenye kazi zangu mfano wiki ijayo nakwenda kushoot movie na JB, muziki na biashara zangu kwa hiyo inanipa fursa nzuri kufanya vitu vyangu, yani mwenyewe kujiamulia asubuhi nakwenda kufanya vitu vyangu hivyo bila kusumbuliwa si unajua Wanaume wanaweza kusema wanataka attention nini… sio kitu kibaya atleast kwa sasa hivi.

Millard Ayo: Umekaa single kwa muda gani sasa hivi? zaidi ya mwaka?

Jokate: Yeah, kwa zaidi ya mwaka mmoja sijafanya mapenzi… sijawahi na mtu ambae nimeweza kumuita like oohh this is my boyfriend… najua ni ngumu lakini nabusubusu watu wengi…. hahah a hah natania hapo, basi tu imetokea hivyo pengine bado sijapata mtu ambae nimeona ataweza kuwa kama wale.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Itapata kutu shauri yako ..

    ReplyDelete
  2. Dah namzimia Hugo Dada,natamani siku moja ndoto itimie

    ReplyDelete
  3. Miss loyola kati ya nyota weng wa kike waofaa kuigwa ww ni mmoja wao ucifute sifa yako kidoti,....Airaiza lucky

    ReplyDelete
    Replies
    1. sifa ipi nzuri aliyonayo huyu?

      Delete
  4. Anasifa gani we unamjua huyu analolote skendo anazo kibao anasema ajafanya ss haituusu inamuusu diomond muongo we .

    ReplyDelete
  5. Dah muwe mnaangalia mambo yakuongelea jamani pamoja na shule yako unaweza kuongea ujinga hivi shame on u

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mie nimemdharau mazima...kamalaya tu

      Delete
  6. Hahahhahah... Malaya wa chinichini huyu.... Mbuta nanga.... Mbona wengine hajawasema..? Maana analist ndefu..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kajinga kweli, anawataja mabasha zake mastaa, kachangu tu haka, halafu hakajui vitu vya kuongea kwenye media. kama hajaenda shule

      Delete
  7. Umalaya tu umekosa soko watafuta upya mwizi wa mabwana za watu nyolooo wee sikupendiii

    ReplyDelete
  8. mmmmmh acha izo tricks !

    ReplyDelete
  9. Muongo,msiriiii alikuwa akitembea na mzee machache mwaka mzima akawa anafanya siri.mi ndo ningekuwa natembea na mzee machache kila mtu angejua

    ReplyDelete
  10. Na mzee wa benki ya crdb je?tena ni mume wa mtu,joketi na wenzie hawaogopi Wayne za watu.

    ReplyDelete
  11. huyu yumo lkn havumi anaumalaya wa chinichini eti mlokole mlokole gani anavaa uchi vipensi kama yuko bich anatembea barabarani na wimbo wake wa kaka mitego mitupu, hana mpya akajambe huko

    ReplyDelete
  12. MUONGO MKUBWA WEWE UDAKU........ANGALIA VIZUR B4 HUJAPOST..........

    ReplyDelete

Top Post Ad