EPHRAIM KIBONDE APATA AJALI MLIMANI CITY

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ephraim Kibonde akishuka kwenye gari baada ya ajali.
..Akilikagua gari lake.
Trafiki akiwa eneo la ajali.
Gari la Kibonde likiwa eneo la ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City baada ya ajali.
Fundi akirekebisha gari hilo baada ya ajali.
Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde amepata ajali ya gari leo asubuhi  katika barabara ya Sam Nujoma kwenye ‘round about’ ya kuelekea Mlimani City. Gari alilokuwa anaendesha Kibonde aina ya Toyota Carina lenye nama za usajili T 733 BVE limeharibika kwa mbele katika ajali hiyo.
(Picha: Chande Abdallah / GPL)

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hicho kicheche anachoendesha hata Bure sipandi

    ReplyDelete
  2. Watu mnazarau we hata pikipiki unayo

    ReplyDelete
  3. Namshangaa mavi tu huyo tena ana akili sana kuendesha hilo kuliko we mburura kutaka range kuihudumia na mafuta uanaweza fanya ktu kngne cha maana kujiendeleza mbwa kabisa

    ReplyDelete
  4. Huyo alie coment wa kwanza ni KENGE

    ReplyDelete
  5. nawewe uwemakini unafikiri kupwapwaja kwenye jahazi ndio uhalali wa kuwacareless ccm wewe hovyo wataka maliZia kagari kako kahela ndogo.m.ng.machimkenda

    ReplyDelete
  6. Baba yako analo?

    ReplyDelete
  7. Pole kibonde kwa kukwachuliwa ku gari chako,japo ckupendi kaka pole

    ReplyDelete
  8. Pole sana Kaka kibonde usijali haya ya watu wanayocoment hawa ndio wachawi wako uanze kujua kuanzia leo

    ReplyDelete
  9. Kibonde wewe unatumia radio vibaya kutukana watu...Wambie wale unaowatetea wakununulie gari zuri sasa! Mbona wewe unatembelea mkweche

    ReplyDelete
  10. Na wewe ripota acha usenge wako. Katika Anjali hiyo nayo ajali. Nyie global mtafute story za kutuma mtandaoni sio ajali hewa ache I usenge

    ReplyDelete

Top Post Ad