LULU "DUA ZANGU ZIKO PAMOJA NA MZEE NGUZA NA PAPII KOCHA HAKUNA LINALOSHINDIKANA MBELE ZA MUNGU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

“Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN”

Hayo ni maneno ya mwanadada Elizabeth Michael (LULU) aliyoyaandika kupitia kwenye mtandao akiwaombea kheri Mzee Nguza na mwanawe Papii Kocha wanaosubiria kusikilizwa kwa rufaa yao ya kesi ya ulawiti inayowakabili


Toka atoke jela, mwanadada lulu ameonekana kubadilika sana kitabia tofauti na alivyokuwa akionekana hapo awali.
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtu ajaribiwapo asiseme ninajaribiwa na Mungu maana Mungu hawez kujaribiwa na maovu na wala yy mwenyew hamjaribu mtu lkn kila mtu mmoja hujaribiwa na tamaa zake mwenyewe huku akivutwa na kudanganywa.......yakobo 1:13 nmekusahihisha tu lulu ila nko pamoja nawe kumuombea babu seya atoke

    ReplyDelete
  2. Mungu hawanusuru kma alivokunusulu ww hpo,nko pmj nawe bi shost kumuombea babu seya atoke

    ReplyDelete
  3. kil la heri viking family

    ReplyDelete
  4. Ni Mungu yupi anayezungumziwa hapa,ni Mungu wa israel au Mungu wa kichina? Lulu unatuhumiwa kwa mauaji,Nguza kwa kuwala tigo watoto,suburini hukumu zenu,tubuni,


    ,acheni kujikosha ili muonewe huruma.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ukweli ni upi kama lulu alimuua kanumba na akatoka jela hata kama hawa hawakubaka na wamesota jela siiamin serikali na sheria za tz lulu acha unafiki malaya wewe

      Delete
    2. Ukweli ni kwamba kesi ya lulu haijaisha,yupo nje kwa dhamana kwa tuhuma za kumuua kanumba,,lolote laweza kutokea.Lulu anajenga mazingira ya kuonewa huruma kupitia bsbu seya na kujifanya kaokoka ili atakapohukumiwa jela apate wapumbavu wa kumtetea.

      Delete
    3. Hata wakimuachia damu ya kanumba itatoa majibu tuu i dont pity her at all

      Delete
    4. Utashangaa mikono yake imetapakaa damu ya kanumba lakini kuna mijitu inamuhusudu na hata kutaka kumuoa .

      Delete

Top Post Ad