KWA WANAUME:THE GUIDE UKISHAKUWA NA NYUMBA NDOGO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

THE GUIDE UKISHAKUWA NA NYUMBA NDOGO

Kama ambavyo tunaelimishwa kila siku
madhara ya kuvuta sigara,na bado mpaka madaktari wanavuta...
na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe,lakini watu wanajikuta
wamefika bar,bila hata ya kujijua...hata kama asubuhi waliapa pombe basi...

basi na hili la nyumba ndogo..kuna watu ni 'almost impossible'kuwaambia
wasiwe na nyumba ndogo.....sasa iliyobaki kama watu wazima sio vibaya
kufundishana 'how to do it the right way........zifuatazo ni kanuni ukizifuata
hutapata matatizo makubwa na pengine uka enjoy life kupita maelezo...

1. Nyumba ndogo LAZIMA iwe na heshima kwa mkeo na Wewemwenyewe, akileta dharau au kujifanya ana mrusha roho wife,UNAPIGA CHINI FASTA.....
hii ndio kanuni ya kwanza na muhimu na ndio muongozo wa mpango mzima..
kama hutaki mkeo ajue,basi iwe hivyo,na sio vinginevyo,marufuku mashindano kati ya wife
na nyumba ndogo...bora zaidi wasijuane wala kukutana kwenye shughuli zao...

2.Nyumba ndogo isisababishe kwa njia yeyote ile kupungua kwa huduma nyumbani au kwa wife...ikiwezekana huduma ziongezeke home,ili 'wasihisi' chochote...hii ni ngumu kwa baadhi ya watu
ukishindwa kipato basi jitahidi,chakula cha usiku.....but ukiweza vyote bora zaidi...

3.Usimponde au kuzungumza siri za mkeo kwa nyumba ndogo au kumuonesha yeye ni bora zaidi
hata kama 'amekukoleza kupita maelezo' hii itazuia kumpa hisia kuwa unataka kumuacha mkeo
na yeye achukue nafasi,hata kama ni hivyo..usioneshe hivyo,iwe siri yako mpaka utakapoamua hivyo..

4.Usimtambulishe waziwazi au kuongozana nae kwenye sherehe za kiofisi au za familia..hasa kwa watu wanaomfahamu vizuri mkeo
unless wewe na mkeo .mpo kwenye process ya talaka officially...akijitia kimbelembele kujitambulisha muonye au mpige chini fasta..

5.Usianze 'kuinvest' mali kwa nyumba ndogo wakati hata future ya watoto bado ya kubabaisha..ukiona nyumba ndogo
ni gold digger...unapiga chini fasta...

6.Nyumba ndogo usiipe majukumu ya mke...kwa njia yeyote hile,kazi ya nyumba ndogo ni
kuku burudisha na kustarehe na wewe,majukumu kwa mkeo...ukifanya kosa hili,si ajabu ukajikuta na nyumba
ndogo ya pili nyingine....

7.Nyumba ndogo lazima iwe kifaa cha uhakika.ikiwezekana imzidi wife..ili mkeo akigundua
awe mpole,ukichukua mwanamke mbovu,wife atakudharau..na asiwe 'kicheche maarufu..utaumbuka.

8.
kwa wanaopenda kuhonga,ukihonga gari nyumba ndogo,hakikisha wife analo tayari ikibidi
yawepo zaidi ya moja home,sio wife anahangaika na daladala...nyumba ndogo umeinunulia vitz..
utadharaulika kupita kiasi na wote wawili na jamii ikigundua. PIA KUMDHIBITI KIKAMILIFU, HAKIKISHA KADI YA NYUMBA AU GARI IKO MIKONONI MWAKO!!

9.Usitafute sifa kwa ndugu wa nyumba ndogo...tafuta sifa kwa ndugu wa mkeo.ili hata zogo likitokea
watakutetea....

10.Nyumba ndogo sio wife,usilete wivu kupita kiasi,ukiona uaminifu hakuna,piga chini kimya kimya
sio kuanzisha ugomvi mpaka siri zinavuja.......


Source:Jamii Forums

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwanini uwe na nyumba ndogo? dont give headache to yourself. ridhika na ulichonacho

    ReplyDelete
  2. Limewachoma hilo! nini? msumari huo! nimnunulie gari kwani nafaidi peke yangu? c wote, hela ya chakula, nguo, kodi hio haisumbui, bt gari, nyumba! Mbulaaaaah.

    ReplyDelete
  3. Bullshiit! Nyumba ndogo wetin? Mimi na wadogo zangu watatu tulinyimwa elimu na matunzo muhimu kama chakula elimu matibabu na mengine mahitaji kama watoyo kwa baba yetu kwa sababu ya nyumba ndogo!
    Alafu leo hii naona mtu kaamua kuhalalisha nyumba ndogo, imenuma sana aise!! Embu fundisheni mambo ya maana sio kuwafundisha watu upumbavu please. Tumieni kichwa cha juu kufikiria nasio kutumia kivhwa chenu cha chini kufikiria mnajiaibisha:((

    ReplyDelete
  4. Ni kweli kabsa mdau hapo juu sheenz y nyumba ndogo hiyo nyumba magar kwann hzo pesa za mchezo ucwekeze kwa watoto kujiwekea heshima pia hatujui kuna leo na kesho ya Mungu mengi unawaacha watoto dunian wanateseka kisa nyumba ndogo then ni ushamba hasa msomi ukifanya hvo ni mjinga aisee let's change

    ReplyDelete
  5. Thank you mdau kwa kukemea huu upuuzi! Ndio maana leo hii tunaona machangudoa wamezidi wizi umezidi unyanyasaji umekithiri nikutokana nakutopata malezi na mapenzi kwa wazazi wetu kwa hio tunalele na dunia badala ya kulelewa na wazazi...leeni wanenu kwa nakuwajengea watoto msingi bora wa maisha sio kuendekeza utamu wa dakika 5 tu! SAY NO TO NYUMBA NDOGO!!

    ReplyDelete
  6. Fuck nyumba ndogo

    ReplyDelete
  7. Nyumba ndogo ni muhimu hasa pale mke anapojisahau na kuleta longolongo,nguo nzuri kwenye sherehe na kanisani,malapulapu awapo nyumbani, no ubunifu,no swaga,no kunyoa mavuzi,. Nyumba ndogo ni faraja kwa waliokosa mapenzi nyumba ya makumbusho ya kale.

    ReplyDelete
    Replies
    1. malaya tu wewe mdau.

      Delete
    2. Anony 12:34 Ukiona hivyo hujampa mkeo matunzo ndio maana hana nguo za kuupara nyumbani , ananguo zakutokea tu. Hebu kamfanyie mkeo shopping ya nguvu uone kama atakuwa haupari nyumbani pia... kuhuvu mavuzi nikazi yako embu myowe mkeo huko.. au hujuwi mapenzi ya kupetipeti? hahaha jifunze mahaba kwa mkeo ili nyumba ndogo isikushtue babu wee! Au dingi alikuwaga na nyumba ndogo ndio na wewe ukaharibikiwa ndio maana unaona poa tu my dear? Funguka tukuskie nini tatizo lako hehehee

      NYUMBA NDOGO TUPA KULEEE!

      Delete
    3. Wanawake wengi hujisahau sana,hata kama ukimnunulia nguo nyingi kiasi gani,kwa ubishi tu havai,na hili tatizo lipo zaidi kwa wakutoka bara,mbona wanawake wa kutoka kusini na pwani hasa Tanga wanamudu kila idara?Na sio kama hawajui,wakati wa uchumba na baada ya ndoa walikuwa vizuri,usiwatetee wazembe hawa.

      Delete
  8. Nyumba ndogo tupa kuleeeeee

    ReplyDelete

Top Post Ad