MENGI AMCHANA WAZIRI WA MADINI LIVE LIVE..."UKAFUNDISHE WAACHIE WATANZANIA GESI YAO"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bwana Reginard Mengi ameonesha kusikitishwa na kauli ya Waziri wa madini Prof Sospeter Muhongo kwa kusema kuwa Watanzania hawawezi kuwekeza kwenye gesi na badala yake wafanye biashara ya kuuza juice.

Akihojiwa leo NA SAUTI YA AMERIKA, Mengi amesema kuwa kwanza serikali kugawa gesi kwa wageni bila hata kuwepo kwa sera ya gesi ni uporaji mkubwa wa mali za Watanzania bila ridhaa yao. Amemwambia hayo maneno ya kuuza juice aende akawaambie wanafunzi wake na asidhani kila Mtanzania hawezi kuwekeza kwenye gesi. Amemshauri arudi chuo akafundishe na maswala ya gesi awaachie Watanzania


Source:SAUTI YA AMERIKA

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana lolote huyo mengi tamaa tu

    ReplyDelete
  2. ktk viongoz ambao hawana kauli mzur na hwana busara dunian bas huyu muhongo anaongoza,,,,,namchukia xna kwa kauli zake,na hajaanza leo

    ReplyDelete
  3. Le profeseri,..,visit here.
    http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827

    ReplyDelete
    Replies
    1. We nawe na hiyo link yako unachosha mamayo

      Delete

Top Post Ad