MKE WA MTU MTARAJIWA ANASWA AKIJIUZA HUKO BUGURUNI....AZIMIA GHAFLA NA KUANZA KUTOA MAPOVU MDOMONI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mchumba huyo wa mtu aliyejitambulisha kwa jina moja la Diva alitoa kali ya mwaka baada ya kuzimia ghafla huku akitokwa na mapovu kinywani baada ya kunaswa na OFM akijiuza. 

Tukio hilo lilitokea wiki iliyopita maeneo ya Kimboka, Buguruni, Dar ambapo msichana huyo pamoja na ‘madadapoa’ wenzake walikuwa wakifanya biashara hiyo haramu bila kificho.

Mara baada ya kuona wenzake wakiwa mikononi mwa nguvu za dola katika kamatakamata ya polisi, mrembo huyo ambaye baadaye alijitambulisha kama mchumba wa mtu, alianguka ghafla na kuzimia kiasi cha kuzua hofu miongoni mwa machangu wenzake walioangua kilio wakidhani mwenzao amekata ringi (kufa).

Baada ya muda msichana huyo alirejewa na fahamu akiwa mikononi mwa polisi na kuanza kuangua kilio akiomba asikamatwe kwa kuwa yeye ni mchumba wa mtu na atakuwa kwenye wakati mgumu kama mchumba’ke atajua anajiuza.

“Naomba msinikamate. Mimi ni mchumba wa mtu afande. Mtaniweka kwenye wakati mgumu kama akijua nilikuwa nikijiuza. Jamani nitamkosa mchumba wangu Luka,” alisema mrembo huyo huku akiomba maji ya kunywa.

Hata hivyo, kilio chake hakikuwazuia ‘OFM’ kufanya kazi yake ndani ya Kituo cha Polis

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yaani hiyo operation sijui fichua maovu ni stupid kbs. Mnafatilia maisha ya watu ya nn? Toka mmeanza hii kazi mbona hatuoni mabadiliko kwenye jamii? Hovyoo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unataka mabadiliko gani ? Au na ww ndio wale waliozoea vya kunyonga! Vya kuchinja huviwezi?

      Delete
  2. Whatever you would wish to call me. Ujumbe umefika. Inaonekana na ww unakula kwa kufatilia maisha ya watu. Nakuhisi ulivyo mbaya..ptuu

    ReplyDelete

Top Post Ad