NEY WA MITEGO AKAIDI AMRI YA BASATA YA KUTOKUVAA MLEGEZO..AWAONYESHA USO WA MBUZI FIESTA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa Hip pop Ney wa mitego 'TRUE BOY' Amewaonyesha uso wa mbuzi Basata ambao awali walimwonya kutokana na tabia yake ya kuvaa mlegezo "KATA K" akiwa jukwaani kwa madai ya kuidhalilisha sanaa hiyo..

Katika hali ya kushangaza kabisa Msanii huyo ameonekana kupuuzia agizo hilo la basata na kendelea kuvaa mlegezo wakati akilishambulia Jukwaa huku akishangiliwa na mashabiki lukuki wa Bongo Fleva .


Tukio hilo lilitokea jana wakati wa Show ya FIESTA DAY 2 iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaderz Club alipokuwa akiwapagawisha wapenzi wake na kibao chake cha "MUZIKI GANI" Akiwa sambamba na Msanii mwenzake Diamond Platinumz.

Sasa wapenzi wa Bongo fleva wanasubiri Rungu la Basata liweze kufanya kazi yake huku wengi wakionekana kumtetea kwa kudai kuwa kila mtu ana aina ya maisha yake 'Life Style'

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. BASATA mko wapi? Hana kazi huyo akauze mitumba,
    au wawe konda kwenye bajaj ya anko.

    ReplyDelete
  2. Hanalolote huyo... namfananisha na shoga 2 MR. LOVE

    ReplyDelete
  3. Hahahhahaha.............................

    ReplyDelete
  4. basata acheni usenge mbona kina shilole na snura wanapanda jukwaani nusu uchi na wanacheza kama wanatombana hamsemi kitu au ndo mnafurahia kuona picha za x, kumanina zenu kwani milegezo ina nini hapo, tena mfunge mabakuli yenu

    ReplyDelete
  5. Mmmmmh...wasikile!

    ReplyDelete

Top Post Ad