PATA PESA MKEO AJUE TABIA YAKO..FILISIKA UJUE TABIA YA MKE WAKO

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Pata pesa mkeo ajue tabia yako..filisika ujue tabia ya mke wako."

Je huu usemi una ukweli?

Tujadili kwa mifano hai

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yeah mwanamke ni pesa bila mkwanja wa ni ni ww

    ReplyDelete
  2. sio kwelmwanamke kam hajakupenda ndo pesa lakin akikupenda pesa haina nafac joo xo msikarir

    ReplyDelete
  3. Tabia ya mwanaume ndio anaejua kupenda mwanamke anajua kutaka siokupenda upendo anafundishwa na mwanaume, mwanamke atajifanya anakupenda ukiwa nazo ukiwa huna kasheshe inaanza hao wanajua kutaka tu ndio tabiazao

    ReplyDelete
  4. Mwanaume ndio anaemtongoza mwanamke sio mwanamke kumtongoza mwanaume ndipo huo usemi unakamilika mwanamke anajua kutaka sio kupenda ukimtongoza chakwanza ataangalia huyu mwanaume anapesa?

    ReplyDelete
  5. Watu wanapenda umbea hawapendi kuchangia mada kama hizi. Unajiita udakuspecially halafu unaweka mada hizi, unapotea njia eee?

    ReplyDelete

Top Post Ad