SINTAH AMCHANA AUNTY LULU LIVE KWA KUGAWA URODA BURE KWA MIDUME.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika mahojiano yake na gazeti moja hapa jijini nimesikia aunt lulu akisema wanaume wamemla sana uroda bure kwa miaka mingi sana bila faida, ila kwa sasa harudii kosa hilo ni mwendo wa faranga kwa kwenda mbele, sincerely kwa hizo pics hapo juu nani anaweza akawa na mwanamke kama huyu and shower her dollazzzz?? men also haaaaa as they say one man's meat is another man's poison.

 kwahio tusiliongelee sana ila wakati mwingine maneno tunayaongea ktk media yanafanya wasanii waonekane kituko katika jamii kabisa na akili zako na unajitambua wewe ni msanii  unaweza ukaongea pumbaless kama hii na watu wakasoma na kukuelewa ??

WANAUME WAMENILA URODA BURE MIAKA MINGI SANA BILA FAIDA SASA HIVI SIRUDII KOSA NG'OO: ANT LULU!

hiki ni nini wajameni? nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili ya kurekebisha watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa kwa matendo haya ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi,

ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wanawake 

yaani nimekereka sana na hii kauli ya Aunt Lulu so sasa hivi anauza rasmi na ameamua kujitangaza kama tunavyojua biashara ni matangazo ?? God  forbid.


i do the seeking n u do the judging...


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. nimeitoa jamani isiwe shida chezea lulu wewe by sintah msaka bifu

    ReplyDelete
  2. Anajifanya kurekebisha tabia anasahau enzi zake za kaole mpk marehemu dandu. Muhuni mstaafu sasa hv ndo anawaona wadogo zake wahuni...nyooo akivutiwa waya tu anatoa posti kujifanya tabia njema atawaweza wadada waliocharuka akili. Apeleke upuuzi huko yy na aunt lulu hawana tofauti si na yy alikua anajiuza mwanza?

    ReplyDelete
  3. ni nani huyu ant lulu? ni staaar????? wa nini???!!....... OMG wadada tunajidharaulisha halafu tunasema tumedharauliwa. m/mungu atuongoze

    ReplyDelete
  4. Kwa ili uyo Aunt Lulu kajizarrsha, Sinta ana haki ya kuongea haijarshi na yeye ana hstoria. Jukum la kurekebshana na kila mtu. Shame on yu aunt Lulu

    ReplyDelete
  5. kasahau nature alivyomuimba nn

    ReplyDelete
  6. Eti ulivyosema "pumbaless" ndiyo kumaanisha nini? Mbona kama vile hiyo ni contradiction? Haya, nyie wasomi bana - sie wa shule za kata tutawaweza wapi nyie!

    ReplyDelete
  7. Mwache auze bidhaa yake kama anashida kwani wasaniii wote vipato mnapataje zaidi yakusaka waume za watu nakuacha ndoa za watu matatani mnaenda hadi kwa waganga wote ni wale wale hakuna mwenye afadhali.

    ReplyDelete
  8. sintah kashaiondoa manake ndan ya hiyo topic walikuwa wanamzungumzia meneja flan wa kampuni za simu ya mkononi anaye wala 0713 vijana hapa mjini@nahis kaambiwa aifute

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heee vijana waliwa 0713 na meneja wa kampuni za simu!!? Lol

      Delete
  9. Mamae zako sinta,we dawa yako nature

    ReplyDelete
  10. we kumanina sintah unajidai msafi sana eeh, ndo maana ulipigwa denda mpaka gari likagoma kwenda kumanina wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad