PRODUCER HAMMY B ARUDISHWA TENA TUSKER PROJECT FAME BAADA YA ALLI ZORRO KUTEMWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MTAYARISHAJI mahiri wa muziki wa Kizazi kipya, anayemiliki studio za ya B Hits, Hermes Bariki ‘Hermy B’ ameteuliwa kuwa Jaji wa shindano la kusaka vipaji vya kuimba Afrika Mashariki la Tusker Project Fame.

Mkali huyo anayemiliki studio za B Hits, ataiwakilisha Tanzania na kwa kuungana na majaji wengine jijini Nairobi, nchini Kenya akichukua nafasi ya Zahir Zorro aliyekuwa Jaji katika shughuli ya kusimamia usaili wa shindano hilo.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Meneja wa bia ya Tusker, Sialouise Shayo, alisema katika kuelekea awamu ya kwanza ya shindano hilo msimu huu wa sita, wamejipanga kuhakikisha Watanzania wanahusishwa kikamilifu.

“Kama tunavyomkaribisha Jaji mpya Hermy B ambaye amekuwa katika kinyang’nyiro hiki cha Tusker Project Fame kwa muda mrefu, tunatumia fursa hii kuwatangazia Watanzania kuwa tumejifunza mengi kupitia kwa Zorro,” alisema.

Katika shindano hilo, Tanzania inawakilishwa na Angela Karashani, Elisha Simon, Mgeni Kalinga na Ussa Dubart.

Kwa upande wake, Hermy B aliishukuru Tusker kwa kumchagua kuwa Jaji katika shindano hilo kwa mara ya sita pamoja na Zahir Zorro.


Mshindi wa Tusker Project Fame atajinyakulia Sh 100, 000, 000 na mkataba wa kurekodi utakaogharimu Sh 200, 000, 000.
-Mtanzania

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SAFI SANA,YULE MZEE HANA LOLOTE HANA CHOCHOTE KWANZA HAJATOA NYIMBO MPYA SIJUI MIAKA MINGAPI IMEPITA SASA! ME NILITAKA KUSHANGAA,YAANI YULE MZEE ACHUKUE KITI CHA MSHKAJI,NINGEJINYONGA!

    ReplyDelete
  2. hujui usemalo ww. sema una mapenzi binafsi na hammy B. kwahyo hammy B ametoa nyimbo lini au judge Ian katoa ln? issue ni uwezo kwa ku judge sio kutoa nyimbo wabongo elimu ndogo ndo mana hata kujadili issue za kawaida shida.

    ReplyDelete
  3. huyo jamaa anaemdiss huyo mzee hajui asemalo! Unamjua vzr mzee Zorro lakini? Unaujua Cleopatra wewe? Nachukia mitandao imevamiwa bwana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli m2 wngu ki2 ajui lina lopka2

      Delete
  4. HUYO MZEE HANA LOLOTE,NYINYI MNAFIKIRI TUSKER PROJECT FAME NI BSS YENU YA HAPA BONGO? HUYO MZEE HANA QUALIFICATIONS ZA KUWA JUDGE KWENYE LEVELS KAMA HIZO! YEYE KUWA MWANAMUZIKI MKONGWE SI KUWA NA UWEZO WA KUCHAMBUA NANI ANAFAHAMU VIZURI MUZIKI NA NANI HAJUI! HAMMY B ANAKUBALIKA KAMA MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI JAPOKUWA SI MUIMBAJI NA PIA ANA UWEZO HATA WA KUMKOSOA HUYO MZEE WENU WAKIWA WOTE STUDIO!

    ReplyDelete
    Replies
    1. We kuma una unalo lijuwa katombwe uko zorro upo juu kitmbo icho wakati ww bado una chambwshwa na kka yko ... Tayli alikuwa ana tamba

      Delete
    2. Acha kuropoka zorro yuko juu wewe unayebwabwaja umjui kapige punyeto ulale.

      Delete
  5. Hermy b. wa ukweli tpf6.

    ReplyDelete
  6. wote wako juu ila zorro ndo legendally hata hermy b jana alisema anapotangazw kuwa judge xo jamaa anajua mzee mkal

    ReplyDelete
  7. HUMU WENGINE KAZI YAO KUTUKANA TU,,.. KA HAWANA UBONGO WAKUFIKIRI,,,!!

    ReplyDelete
  8. Ki ukweli kabisa Zorro ni Mtaalamu wa mziki na hakuna ubishi BUT Wabongo wengi tuna tabia yakutokubaliana na ukweli. Kwa wale waliofuatilia trend nzima tangu Zorro ashiriki utagundua technicality nyingi hasa namna ya uongeaji wake, comment zake nk na mengine ambayo sio vema kuyaweka humu ila kama mtu ana ufahamu mzuri/ IQ basi utajua ni kwanini Zorro watu wasema haku FIT pale. Kwa hali niliyoishuhudia kutoka kwa Audience wengi wa nje ya TZ walivyokuwa wana comment, si ajabu angeendelea ingekuwa NI GUMZU LA JIJI na mwisho kuwa fedheha.

    ReplyDelete

Top Post Ad