UPDATES:MWANDISHI WA ITV UFOO SARO AHAMISHIWA ICU BAADA YA KUJERUHIWA KWA RISASI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwandishi wa habari wa ITV/Radio One Ufoo Saro amejeruhiwa kwa risasi na mtu anaedaiwa kuwa ni mchumba wake na pia mtu huyo kumpiga risasi mama mzazi wa Ufoo na kisha yeye mwenyewekujipiga risasi  na kufariki dunia papo hapo leo alfajiri eneo la kibamba jijini Dar esSalaam
.
Awali taarifa zilizosikika katika vyombo vya habari vya ipp ambapo Ufoo anafanyia kazi  zilisema kuwa Mwandishi wa habari wa Kituo Cha Habari cha ITV na Radio One UFO SARO amepigwa risasi mbili na anayesemekana kuwa ni Mchumba Wake aliyekuwa akifanya Kazi Sudan Kupitia UN.
 Sababu ya Kupigwa Risasi yeye UFO SARO na Mama yake Mzazi Ufo Saro ambaye amepoteza maisha papo hapo ni ugomvi ambao haujajulikana na huku Aliyewapiga risasi UFO SARO pamoja na Mama yake Mzazi Ufo kajipiga risasi chini ya kidevu na kupoteza maisha papo hapo..

Habari zilizotufikia hivi sasa zinasema Ufoo kwa sasa amehamishiwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) Kwa uangalizi zaidi.

tuendelee kumuombea ili apate unafuu na arejee katika kazi zake za kila siku za kuhabarisha umma.tutaendelea kuwahabarisha zaidi kwa kadri tutakavyokuwa tunapata taarifa kuhusu hali yake.

Source:Mwaipaya

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu akuponye mapema,nauwe makini kwenye mahusiano wanaume wanapenda ikitokea shida muongee ,wawili na kuyamaliza sio kwenda kwa mama,hayo ndio madhara ya kushirikisha matatizo watu,.NAPE MNAUYE ,ni nani ? Katika nchi ya Tanzania,anatakiwa awe na hekima na amwombe Mungu amsaidie hafikirii anavyo ongee dunia inamwangalia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani nape kafanyeje tena?

      Delete
    2. Nami nimeshangaa jamaa kavurugwa hatari nape kaingiajr hapa sasa

      Delete
  2. inawezekazaka wewe ulikuwa msalit,ukishirkiana na mamaako,tnawajua mamazetu kwa kusaport mabint zao hata kwa mambo ya kipuuzi,inawezekana jamaa ashagharamia sana,afu leo mnamletea ngonjera,

    ReplyDelete
  3. Wewe kama mama ako kwa kusapot upumbafu ni wewe huna mwenzio ucjipe moyo

    ReplyDelete
  4. Nnape kwishneeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!

    ReplyDelete
  5. hilo gamba la kijani na habari za ufoo zimeingiliana vp tena

    ReplyDelete
  6. pole sister hii ndo dunia tuliyonayo..mungu akupe moyo wa subira.

    ReplyDelete
  7. ya ufoo na nape nadhani ni idhaa zimependana zikaingiliana, lakini ngoja kidogo comments zinavyoendelea kutiririka tutapata kitu....

    ReplyDelete

Top Post Ad