SHAHIDI AELEZEA JINSI UFOO SARO ALIVYOPIGWA RISASI NA MAMA YAKE KUUWAWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa mujibu wa ITV tukio lilitokea saa kumi na mbili na nusu nyumbani alipokua akiishi mama mzazi wa mwandishi wa ITV Ufoo ambae ni Anastazia ambapo baada ya taarifa kufika ITV, timu ya ITV  ilifatilia tukio hilo na kushuhudia gari la wagonjwa la Hospitali ya Tumbi Kibaha Pwani ikiwa imembeba Ufoo kumuondoa kwenye hospitali hiyo ili kumuwaisha Muhimbili hospital.

Wakati huo mpaka Ufoo anafikishwa hospitali ya Muhimbili kwenye kitengo cha dharura, miili miwili ambayo ni wa mama yake mzazi na mwanaume aliemuua mama kwa risasi na kisha kujiua yeye pia kwa risasi ya kichwa ilikua ikiingizwa kuhifadhiwa.

Shuhuda wa tukio hilo ambae ni mpangaji aliepanga nyumba ya mama yake na Ufoo, Mr Ngowi amesema ‘walikua wanagombana huko ndani na kelele za bastola zinasikika, tukafika tukakuta damu zimetapakaa chini barazani tukamuona na mama amelala chini ndio nikatoa taarifa kituo cha polisi na kukuta Marehemu amemuua mama mkwe na yeye mwenyewe kujiua’


Mwenyekiti mtendaji wa IPP Reginald Mengi alifika hospitali kumjulia hali Ufoo ambapo alisema ‘nimesema na Madaktari ana majeraha lakini hatujui ni mangapi kwa sababu bado wanamfanyia uchunguzi na baadae kidogo atafanyiwa upasuaji, nina imani kwamba Ufoo atarudi kwenye hali yake ya afya njema’

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

33 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. pole sana lkn wanawake ndo tujifunze kma kweli ulikuwa unamchakachua mwenzio hela za nyumba unaenda kujenga kwenu wengne watajifunza kupitia wewe we mshahara wako wa itv ulikuwa unapeleka wapi huo c ndo ungejengea kwenu?mumeo akikueleza kitu mwelewe kwan alishindwa hzo hela kumalizia barabaran uczione?akahangaike huko sudan aache kula shushu huko ajibane akuletee we ufanye unavyotka?mshahara wa dhamb ni maut chukumu ila nasema ukwel kma ndivyo ilivyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. unauhakika na unayosema au unabwabwaja tu kufurahisha umma..Ufoo yuko mahututi,mama kafariki na mme pia aliyesema hayo ni nani??acheni hizoo tumuombee dada apone baasi!

      Delete
    2. huo niliousema ni ukweli mtupu dada akipona anaweza kusema ukweli kama akitaka

      Delete
  2. kumbe source ndio hiyo?but kwa wanawake wanaotoke kaskazini hizo ndio tabia zao tuwe care wanaume tunaotaka kuoa pande hizo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kuma wee mama ako c alitaka kukutoa wew mbwa?wa kaskazin unawajua we mbwa koma

      Delete
    2. Tena ukome we anony 5:15AM, wewe unaropoka tuuu hujui ukisemacho, usigeneralize. Alf inaelekea unaishi kwa mazoea, embu toa ishahidi wa watu 100 wa kaskazini wenye tabia hiyo

      Delete
    3. Wewe umeona hii hapa chini au unaongea tuu upuuzi kuhusu wanawake wa kaskazini. lazma kunasababu huyu dada kakataa kwenda kuishi kwenye nyumba hiyo waliotaja na mchumba/mmewe. lazima kuna kitu alikiona na kikamfanya akagoma kwenda kuishi huko. kwa hivyo acha kuongea kwa pupa namna hiyo


      Akizungumza na Uwazi, juzi nyumbani kwao Kibamba Dar, mdogo wa Ufoo aitwaye Goodluck Saro alisema ugomvi anaoujua yeye ni kitendo cha dada yake huyo kukataa kuhamia kwenye nyumba ya Kimara, Dar ambayo Anther aliipanga.
      Alisema hajui kwa undani ni kwa nini dada yake alikuwa akigoma kuhamia makazi hayo mapya lakini kitendo hicho kilikuwa kikimfanya shemeji yake kubadilika.
      “Siku za hivi karibuni shemeji alibadilika hata tabia. Zamani alikuwa akija anatuchangamkia sana, siku za hivi karibuni alikuwa akija, baada ya salamu haongei,” alisema Goodluck.

      Delete
  3. kweli huo ni usaliti wa ghali ya juu sana; u-gold digger uko kwenye gene haijalishi kama unapokea mshahara mkubwa au la; wewe unachukua mshahara wa mtu alafu unaufyonza na kufanya mambo yako alafu vitabu havi balance ndio hapo mtu atakupiga risasi

    nimeona hata watu wengi wanaoishi nje ya nchi wanatuma fedha alafu ndugu wa damu wanachoma ndafu badala ya kuwalipa wajenzi wamalizie nyumba, siku unashuka hapo kipawa unauliza ndugu nipelekeni kwenye nyumba wanaanza kulia, ukiuliza nini kimetokea wanasema zile fedha tumelipia matibabu, sasa kama mlilipia matibabu mbona hamkuniambia na hizo ni fedha zangu za kupiga box? basi hapo kweli unatoa bastola.

    ReplyDelete
  4. pumbavu cbwabwaji nasema shenz uchungu wa hela unaujua wewe kwan huyo mwanaume hakuwa na mama wa kumjengea?uctetee ujnga pole nampa lkn ndio na cc tujifunze za mwenzio ndo za kuchezea mbona asichezee zake.me mwenyewe chaga line ila ujnga stak

    ReplyDelete
  5. jaman mbona mnahukumu kama mnauhakika kumbuken hakuna anaeujua ukweli uliopo isipokuwa ni wahusika tu. Kwahiyo unachokisema jaribu kukipima kwani damu ya mtu hailinganishwi na chochote

    ReplyDelete
  6. Replies
    1. Kama mapenzi why amuue na mamamkwe? Hujiuliz!? Hii ni issue ya pesa...

      Delete
    2. Nakubaliana na wewe mdau wa sa 7:32 am, inaelekea mtu na mamaye wamemsaliti jamaaa

      Delete
  7. Ss hivi co mda wakuwaga maneno yenu yasio na hadhi,kitu muhimu nikumwombea dada wa watu apone maneno yenu hayata saidia chocho kama nikuua kaua. Na kajisepeesha mwenyewe na mambo ya watu haya wahusu kama kala hela atajijua mwenyewe. Hiyo haiwahusu kwa maana haisaidi mnapoteza muda kutoa lawama kwa mambo yaco wahusu fanyeni yunu na muache ya watu kama yalivyo,na huyo unae sema wanawake wakaskazini hawafai nakupa pole kwa maana hamna mwanamke mwaminifu wote ni matapeli hata kama kunao waco matapeli hawafiki asilimia 10 nikila mtu kuwa makini katika mapenzi kwa maana hamna aliye mwaminifu,na pia ukiona za mwenzio za nyolewa zako tia maji

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wewe sijui umetokea wapi na ayo maneno yako unayojitia ni ya busara, kitu kikishawekwa kwenye public nicha public, hakuna cha kusema hayo mambo hayawahusu, yangekuwa ni ya kwao pekeyao wasingewekwa kwenye mitandao au vyombo vya habari,

      Delete
    2. dogo sikiliza, unapokuwa celebrity au ukiingia kwenye showbiz story zako ni za kadamnasi aka public kwahiyo huwezi kusema watu wasiongee yeye yuko kwenye showbiz aka utangazaji kwahiyo ni kioo cha jamii na hiyo inamaanisha tutamjadili tu

      Delete
  8. Na ww unaesema wanawake wa kaskazini ndo tabia yao jiheshimu kwanza hukutumwa uoe huko mpambafu

    ReplyDelete
    Replies
    1. huyo mwanaume amefanya vibaya kuua.ILA KASKAZN NAKO MMMMHHHHHH NI HATAR

      Delete
  9. Replies
    1. Kina dada tujifunze kutokana na makosa watu wanataka maendeleo siyo maneno

      Delete
  10. teteeni tu ujinga yangewakuta bongo muvi mngetukana mpaka bac,hv 2jiulize mush kwani alikuwa chizi aue 2 tena wana mtoto!hv jamani mshawahi kutendwa nyie na wa2 mnaowapenda na kusacrifice kila ki2 kwa ajili?jamani msiombe kila m2 ana ego yake!

    ReplyDelete
  11. Hata hivyo huyu mwanaume ni mpumbavu pamoja na hasira zake, tena bila kukosea huyu ni mvutaji bhangi, hana fikra kabisa.

    ReplyDelete
  12. mshakuwa mahakimu ninyi! hamna jpya ufoo tnakuombea

    ReplyDelete
  13. Hata ingekuaje......hakufanya uamuzi sahihi bwamkubwa

    ReplyDelete
  14. Wanawake wa kaskazini nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na niving'ang'anizi

    ReplyDelete
  15. Ndio wanawake wa kaskazin tunapenda pesa hatufai cha ajabu kutwa mnatulilia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani awalilien nyinyi mapenzi yenyew hamjui mkitombwa mnatulia kama magogo yelewi masawe ujamaliza bado msliss bwana dukan amna m2.pumbavu nyinyi kutombeka hamjui miuno hamjui halafu m nataka hela ndefu

      Delete
    2. Mkundu wewe sasa mbona mapumbu yenu kutwa kuyaleta kwetu na hela mnatoa ooh nilisahau tuna kuma tamu hata bila kuwakatikia mnadata chezea sie nyie mtatukana na usiku viboli vyenu vitalala kwenye k zetu.pumbavuuyyy

      Delete
    3. Chezea wanawake wa kaskazini ww tuna mcmamo na tunaelewa tunafanya nn angalia huyo mpumbavu kajiuwa kisa mwanamke hataki kuhama. Nyumba inaonyesha nijinsi gani tuna wavutia nyie,hapana chezea hii kanda mungu alitujalia bwana mapenzi ujinga gani yani nawapa big up kaskazini ladys la dada pole kwa majeraha alio kupa mungu atakusaidia dada yangu utapona endelea na mcmamo wako dada yani hao wanao tu dic wanawake wa kaskazini ndo hao hao wanao wangangania hata kama mkijidai kusema hatujui mapenzi hamna lolote. Hela zenu tutazila sana wapumbavu nyie hapana chzea mchagga ww

      Delete
  16. Tusimshutum moja kwa moja bwana mushi tungesubili ufo akatupatia taarifa ya nini kilitokea isije ikawa walivamiwa na muuwaji baada ya kufanya mauwaji akakimbia. So tuache kuashumu kuwa muuaji ni mushi, pia unaweza kuta ufo ndo mhusika. Polisi wafanye uchunguzi

    ReplyDelete
  17. si mshutumu ufoo.
    ila kaskazn si pakukaribia,dont try at home or anywhere.yaan hawafai

    ReplyDelete

Top Post Ad