HIVI NDIVYO VYUO KUMI 10 VILIVYOFUTWA NA SERIKALI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imekunjua makucha yake kwa kutangaza kuvifuta vyuo 10 ambavyo havikusajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) .


Naibu Waziri wa wizara hiyo, Philip Mulugo, alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaama mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii na kuongeza kuwa kufutwa kwa vyuo hivyo ni kutokana na kutokufuata utaratibu wa kusajiliwa.

Alivitaja vyuo hivyo ni Media and Research Center, Vision Hotel and Tourism College, East Africa College of Hospitality and Tourism, The Africa Institute of Business Management na Aspiration Training Center, vyote vya Dar es Salaam.

Vingine ni Dar es Salaam School of Hair Design, Media and Values Training Institute na Information Technology Training Center vya Dar es Salaam. Pia alikitaja Chuo cha Morogoro School of Medical Sciences cha Morogoro.

Katika hatua nyingine, Mulugo alikiri kuwa kuna upungufu katika kutoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kupitia bodi ya mikopo.


Alisema kuna changamoto nyingi zinazoikabili bodi hiyo zikiwamo urejeshwaji wa mikopo kwa wanafunzi waliomaliza chuo, mfumo wa utoaji wa mikopo, ufinyu wa bajeti na makosa yanayotokana na wanafunzi kukosea kujaza fomu za mikopo


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wazri sophia simba na shangingi mwenzio mbunge wa kudandia mary mwanjelwa mutamuweza jembe letu mbunge sugu¿Akirudi china atawafira.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Duh! Huyu mmoja alishafirwa sana na mdogo wa mwanamuziki mmoja maarufu,limebaki shimo kubwaaaaaaaaaa!!

      Delete
  2. Chezea sugu wew..chakaza baba

    ReplyDelete
  3. wadau mbn celewi niambieni bac tujue wote

    ReplyDelete
  4. Ha!ha!ha! Wabongo bwana!

    ReplyDelete
  5. Sasa sugu na hii habarivya kufungiwa vyuo inahusiana vipi? Hebu acheni ulevi

    ReplyDelete

Top Post Ad