PICHA ZA WATUHUMIWA 13 WALIOKUTWA WAKIFANYA MAZOEZI YA AL-SHABAAB NA AL-QAEDA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Hawa  ni  vijana  wa  kitanzania 13  ambao  walikamatwa  na  jeshi la polisi   Mtwara baada ya  kupata taarifa kwamba  walikua wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za  Al Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD  pamoja  na  silaha   mbalimbali  kama  ushahidi...


 Taarifa ya jeshi la Polisi leo  imesema kuwa , vijana  hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sheria ichukue mkondo wake.

    ReplyDelete
  2. Kama kwel wafungwe

    ReplyDelete
  3. hope walikuwa wanacheza movie.

    ReplyDelete
  4. teh teh we mdau umenichekesha eti hope walikuwa wanacheza movie

    ReplyDelete
    Replies
    1. yah mana watanzania sidhan kama tunaweza kumiliki silaha za moto ka hizo.na wamezitoa wap hzo silaha jamani.

      Delete
  5. Ni watu hatari hawa,wahasiwe na kufungwa kifungo kirefu na kazi ngumu.

    ReplyDelete
  6. Acheni kuwadhulumu watu, ok walishikwa, WAPI??mbona mmeng'ang'ania tu kifungo, we ushswahi sikia tz ina al shabab japo siku moja, acheni kuweka majipicha tu yasioendana na habari, yasiyo na uhakika na ukamilifu...this is stupid!! hizo ni picha za watanzania waadilif ila tu huenda wameghafilika kwa makosa mengine.

    ReplyDelete
  7. Siku hiz hata ukikutwa unajisaidia porin we ni al-shabaab

    ReplyDelete
  8. BONGO UDINI UNASHIKA KASI NA PROPAGANDA, MSITUFANYE WATOTO WADOGO LAKINI JUENI KUWA MUNGU HAWAHIFADHI MADHALIMU.

    ReplyDelete
  9. Acheni ujinga huo alshabab atoke tz au kwa kuwa ni waislam ss ombeni dua mbaya kama kenya kwan itakuwa kama kenya wajinga wakubwa mungu anatosha hakuna atakaebaki hapa chini ya dunia ww umkamate alshababi ati anafanya mazoezi acheni wadau

    ReplyDelete
  10. Acheni ujinga huo alshabab atoke tz au kwa kuwa ni waislam ss ombeni dua mbaya kama kenya kwan itakuwa kama kenya wajinga wakubwa mungu anatosha hakuna atakaebaki hapa chini ya dunia ww umkamate alshababi ati anafanya mazoezi acheni wadau

    ReplyDelete
  11. Watanzania amkeni!nyie kila kitu munapewa propaganda na hivi sasa munashabikia udini na kuwakandamiza waisilam kama vile sio wao walioikomboa tz. Lakini hizo silaha mbona hazijatajwa na kuoneshwa.
    NA NYIE VYOMBO VYA HABARI WENZENU WANACHANGAMKA NA BIASHARA NYIE MUNAPUBLISH PROPAGANDA KWA KUWARIDHISHA WATU FULANI.
    Huo ndio ukweli na kama si ukweli ALSHABAB WAJIFUNZE kwa CD HALI YA KUWA WANAJITANGAZA WAZIWAZI BILA YA CHENGA.tuamke tujifunze
    By
    MCHUNGAJI MUADILIFU

    ReplyDelete
  12. They deserve to spend all their remaining days in prison, wajinga hawo!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad