WEMA"NINYI MNAZANI NAMWAZA DIAMOND KILA SAA, NO MIMI NAWAZA JINSI YA KU MAKE MORE MONEY""

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wema Sepetu mwenyewe anajua kwamba watu wengi wanafikiri yeye anawaza kuwa na Diamond hivi sasa, lakini ametoa majibu ya hayo mawazo kwenye hii picha. Maana ya hii picha ni kwamba watu wengi wanafikiri kwamba muda wote Diamond yupo kwenye kichwa cha Wema, lakini yeye mwenyewe anasema kwamba muda wote anafikiria pesa. Unaionaje hiyo picha?

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Yap kati ya sifa za mmke ni utaftaji,so wema yupo sahihi!mengine baadae!

    ReplyDelete
  2. Wera weraaaaaa....lakini anamuwaza ingawa sio kila saa.,inakubalika baby that gud

    ReplyDelete
  3. Ofkoz lazima ukanushe si unajua babu clement ataacha kukupa pesa msonyooo chagua vibabu au dai

    ReplyDelete
  4. Nyinyi nanyi muwe mnachunguza mambo kabla.. HIYO PICHA WEMA AME I "REPOST" jamani au kiingereza kigumu.. Aliyetengeneza hiyo pic ni fan wake wa @wemadaily yy akafanya kuirepost kwa insta account yake... Mumuacha wema jamani apumue khaaaah..!

    ReplyDelete
  5. Ha!ha!ha! Haya bhana.

    ReplyDelete
  6. Babu clement ndio yupi huyo pedgee. maana platinumz aliwahi kukiri clouds tv kwamba alienda fiesta dodoma au mwanza wema akawa analala chumba jirani hotelini akidai ana kibosile anayempa fedha wanazotumia na diamond amuache apige night shift.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama ndo ivyo daimond hawezi kumrudia wema kamwe hamna mwanaume anayekubali kuona dem wake analiwa na watu wengine live afu aje amuoe

      Delete
  7. Hata kama ni kidogo inatosha sanaaaaaa

    ReplyDelete
  8. Bora yako umejitahid kutafsir kuna blog bhana wametafsir kivingne kabisa hy picha duuuuuuhhhh!!!

    ReplyDelete
  9. wema onyinye wakuwache alaleeeeee

    ReplyDelete
  10. Wa Tanzania munaoza harufu ndo hizo

    ReplyDelete

Top Post Ad