ZITTO"NIPO TAYARI KUNYONGWA KWAAJILI YA HILI ILA SITATOA RUZUKU KWA CHADEMA WALA CCM WASIPOKAGULIWA"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Zitto Kabwe akitoa ufafanuzi juu ya taarifa yake ya mahesabu ya vyama 9 vya siasa ambavyo havijapeleka ripoti ya ukaguzi wake wa mahesabu kwa Msajili. Baadhi a vyama hivyo vilikanisha taarifa hiyo. Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zito atueleze kama kuna sheria inayosema kamati ya PAC ina stahili kufanya mahesabu ya vyama vya siasa. L a sivyo aache kutafuta cheap popurality. Ninachojua kamati yake inabidi imwulize mkaguzi wahesabu za serikali na Msajili wa Vyama ambako vyama vinaripoti. Lakini hii ya kutaka kuonewa huruma kuwa upo tayari kufa hizo ni porojo, fanya kazi kwa mjibu wa sheria si kudanganya watu na kuonekana si kamati ila ni zito. Na magazeti acheni kuchanganya watu kwa ujira wa kipuuzi. Kwanini msiseme angalau ni kamati ya Pac badala ya kumpamba Zito kiasi cha wasioelewa wanadhani zito anatisha hapa mtaani

    ReplyDelete
  2. zito simama bila kuegemea chama chochote

    ReplyDelete
  3. Unahela ya kutoa ruzuku? Wewe unatoa recommendation tu serikali ndio ina wajibu wa kutoa au isitoe na sio wewe zitto.

    ReplyDelete
  4. Usiogope songa mbele

    ReplyDelete
  5. tunakujua wewe zitto ni ndumila kuwili

    ReplyDelete
  6. do what you believe is right,,be bleased!

    ReplyDelete

Top Post Ad