ASKARI TRAFFIC CHALINZE WANANUKA RUSHWA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

mimi nikiwa mtumiaji wa kila siku wa barabara ya dsm-arusha,hakuna askari kelo kama wa chalinze,wamekaa pale cheki pointi ya chalinze si kwa kukagua magari bali kwa kujaza matumbo yao kwa pesa za rushwa hata pasipokufanya kosa,ukifika pale angalia trafiki anapokuja,anapewa time table ya gari nakondakta na chini ya iyo time table wanaweka 2000,na askari akipokea huibana kwenye mkono au kifinbo,na kisha kuondoka,na ikitokea hujaweka kitu basi huanza kukagua mpk matairi na vioo na mda wa gari.kwa mfano leo kwenye gari nililokuwemo kabla ya kufika chalinze abiria tuliomba kuchimba dawa,konda akasema subirini tufike chalinze,baada ya kufika watu wakashuka na kurudi kwny gari na dereva akawa anashuka,baada ya hapo akatokea afande mmoja mwenye namba WP55xx na kupewa na kondakta time table pasipo chochote,akaanza kuzunguka gari zima kutafuta makosa na mimi nilikuwa kwa mbali na kikamera changu cha mfukoni,kisha akaingia ndani na kushuka na kumwambia konda abiria hawajafunga mkanda na dereva wkt ndo tulikuwa tunafka

Source:Jamii forums

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wakale wap sasa kila mmoja anakula kazini kwake.....

    ReplyDelete
  2. Tomba wote. Kama wanakula rushwa

    ReplyDelete
  3. Acha unafk ww,, hilo sio tatizo la kufanya gar lisiendelee na safar,,hayo sasa n majungu umefkiria cha kupost ukaona ndo hicho kama ulikua na ushahid kwann usipeleke kwa mabos wao,,sasa unapost humu sisi tufanyeje,,acheni majungu,,pumbafu.

    ReplyDelete
  4. Mmmh hayo ni zaid ya majungu duuh!!!!

    ReplyDelete
  5. Kwani wanatumwa na mtu waweke hizo buku 2 c kupenda kwao.

    ReplyDelete

Top Post Ad