BAADA YA KUPOTEA KIMUZIKI MWANAMUZIKI 20 PERCENT AMUOMBA MSAMAHA PRODUCER MAN WATER

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hakika Nyumbani ni Nyumbani tu ...Mwanamuziki 20 Percent ambayo miaka kama miwili iliyopita alikuwa ni tishio katika muziki wa Bongo Flava Hatimae ameamua kujirudi na kuondoa Beef walilo kuwa nalo na Producer wake ambaye ndio alikuwa anamtoa Man Water ...Wawili Hao wamekuwa kwa muda mrefu hawapatani kila mtu akisema mwenzake ndio mbaya ...ila leo wamekutana katika Ofisi za Magic FM na Kumaliza Tofauti zao na Kuhaidi kufanya kazi pamoja tena...20 Percent toka aachane na Producer huyo ameshindwa kabisa kufurukuta katika Game Hilo na kuonekana ameishiwa kabisa....Tunamuombea Arudi tena kama dhamani tupate Burudani Safi toka kwake....
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ina maana MAN MAJI ndo alikuwa na kizizi cha asilimia 20!!!!!??????????._____.Bhaas sauuwa mpe salamu zake,mwambie ha2na tatizo nae.teeeh teeehee teeheee____.

    ReplyDelete
  2. Chezea MAN MAJI noumer yani tangu 20 akimbie kwa jamaa, game ilimkataa kabisa sasa naic vile vi2 vya TAMAA MBAYA vitalud tena, recpect kwa man maji kwa kumkunjulia dogo, bange 2 zilikuwa zinamsumbua, akileta ujinga tena piga risac kabisa. PUUMBAAFUUU!!

    ReplyDelete
  3. thats brotherhood. safi sana. tusonge mbele. beef hakuna.

    ReplyDelete
  4. 20% unazidi kuchakaa kwa mabangiii!

    ReplyDelete
  5. Bado hapo sasa atakuletea daz baba na mibange yake,kuwa makin man maji.

    ReplyDelete
  6. Afande Sele kamwalibu 20% aise cheki alivochakaa

    ReplyDelete

Top Post Ad