BOB JUNIOR ATEMWA NA MKE WAKE...KISA BOFYA HAPA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkali wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa ametambulisha ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Bashasha aliyempa shavu Vanesa amesema kuwa ameachana na Mkewe ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa Kiume.

Msanii Bob Junior akifunguka kupitia Kipindi cha Power Jams cha East Africa Radio amesema kuwa ameachana na mkewe kwa sababu ya wivu wa Mapenzi aliyokuwa nao huyo ambaye alikuwa mkewe ambaye ameweza kumzawadia Bob Junior Mtoto Mmoja wa Kiume.

Bob Junior amefunguka na kusema kuwa wale wote waliosema kuwa alioa ili aweze kupikiwa kipindi cha mfungo si kweli bali wameshindwana na mkewe kwa sababu za Kifamilia na Wivu wa Mapenzi,lakini mkali huyo hajaishia hapo bali amekaribisha Maombi kwa yoyote ambaye atakuwa tayari bali anapaswa kuwa na Tabia njema


-JAMBO TANZANIA

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

20 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sad jamani! Walipendezana wenyewe. ..haikua rizki I guess. Kuolewa na mtu maarufu yataka moyo jamani, kama mimi siweziii nina wivu bala! Lol

    ReplyDelete
  2. Aaache usenge nani anataka kuzalishwa nakuachwa

    ReplyDelete
  3. Yaan wewe bobj mjinga.sana una aa ha mke eti mmeshindwa hivi una.dhan wan wake wana tofauti ukiona mwwnamke hana wivu nawe ana bwana mwingine uta mkumbuk huyo binti na kuhakikishia ukipata mwingine atiwana wenzio kama wewe unavyo fanya mjinga sanaaa

    ReplyDelete
  4. mambo gani hayo. Ya kuachana..ndio tabu ya kuolewa na masupastaa wasiojielewa

    ReplyDelete
  5. Acha usenge bob j....mtafute mkeo myamalize fala ww.. ulidhani ndoa lelemama eee...? Uchangu wako ndo umemkimbiza mkeo...ungekua unajua za nje tamu ucnge oa mapema....fuck u * 10....unamkaribisha nani sasa malaya wewe...

    ReplyDelete
  6. Wewe bob ni mjinga huna ata akili,angalia umri wa mtoto ako!unadhani ataishi vipi bila mapenzi ya nyie wawili pamoja!? Unaenda kulifakamia hilo lijanamke utajuta nakwambia mmmxxxxyuuu

    ReplyDelete
  7. huyo bob bado ana akili za kitoto

    ReplyDelete
  8. vip wewe acha ushamba. maisha hayako ivo unavofikiri bob, ni haki ya mkeo kuwa na wivu, kama unaleta umalaya je, ila ujue huyo mtoto ni mdogo atakosa malezi ya mamae... hutopata mwingine kama huyo nakuambia kweli, na hao unao wakaribisha ni wakupita tu. GET THE GUD DAMN SHAME, IT JUST LIKE DEVENTES DE SO LO VALA DAAAAAAAAAAMN...

    ReplyDelete
  9. Mjinga sana.nfo sio mchezo wala utani ukujia hilooo bila haya undai nakaribisha yeyoteee mjinga mno na mchoyo na una roho mbaya huoni mtoto ni mdogo na na itaji malrzi ya wazazi wote wawiliii.ukweli hukumpenda huyu dada ni umalaya ndio ulifanya umwoe na umzalishe mtoto wa watuuuu amaa mapemaaa.niipenda sana ndoa ya.sajukiiii. Malipo ya kila kitu ni dunia hiiii haya jofanue upo juuuuu uone kama uta kaa milele alafu un ongea kwenye redio una haya kabisaaaa mlafi wa ngono wew na ngoja ife kwa ukimwiiii

    ReplyDelete
  10. Mjinga elimu huna hujui maana ya familia hujui maana ya ndoa. Una waza kukata kiuno tuuuu sasa ngoja upate.ajali ulale kitandani utaona na uta mkumbuka mkeo n kuanzia sasa sikupendi wala sipenditena nyimbozakoooo na uta kufa kimuziki soooon malaya mpumbavu weeee usiyejua maana ya ndoa

    ReplyDelete
  11. Anafirwa huyu si haba haya hongera kwa usenge baridi wako hanithi mkubwa hujui kuitunza ndoa yako.

    ReplyDelete
  12. Huyo bob ana udogo gani wakati anamavuzi ya chuma nyoko zake arehemike kwa laana

    ReplyDelete
  13. Huyo mshamba tu. Kwani ina mana hajui wivu una maana gani katika mapenzi. Eti wadau kuna mtu asiye na wivu na ampendaye? Au mi nawaza kinyumeee

    ReplyDelete
  14. hebu malizen tofauti zenu mtoto bado mdogo sana anahtaji mapenz ya baba na mama wivu ndo kila ki2 katka mapenz sasa we umemuacha mkeo kwasababu ya wivu si ujinga huo acha izo bob..

    ReplyDelete
  15. Maisha yanahitaji uvumilivu na heshima, watu tusingekuwa wavumilivu basi tunguoa au kuolewa kila siku kwa makosa madogomadogo. Hiyo si sababu yakuachana na mzazi mwezio kumbuka mtoto akilelewa na wazazi wote wawili anakua na adabu zote acheni kumuumiza mtoto. Wivu ni kitu cha kawaida sana katika ndoa na kwa mtu anayependa kweli hakosi kuwa na wivu kwa mwenza wake, nawaombea msameheane na kurudiana ili muweze kulea mtoto wenu vizuri.

    ReplyDelete
  16. kama bwege vile.........huna akili kijana na huna mapenz ya kweli pia,kama mkeo alikua akikutilia shaka ilikua ni jukumu lako kuprove wrong to her she must be jealous coz yo a star and evrygrl wants nt you but ur money and the kiki out on you.....GO ROCK YO SELFIE IN HELL COZ YO USELESS

    ReplyDelete
  17. Kisha ooh wasani ni kiyoo cha jamii unammurika nani malaya wakubwa,video zenu mnaonyesha nn na nyie mnafanya nn pumbavu zenu...kisa ooooh ana wivu Kwn ulilioa jiwe we Boya kweli........f******k *zote....

    ReplyDelete

Top Post Ad