BREAKING NEWZ AJALI MBAYA MLIMA KITONGA,KAMA UNAMOYO MWEPESI TAFADHALI USIFUNGUE PICHA HIZI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Ajali mbaya  nyingine  imetokea  usiku  huu katika mlima kwa Kitonga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa katika barabara  kuu ya Dar es Salaam -Iringa . 
Katika  ajali  hiyo  watu  wawili wamekufa papo hapo huku wa wawili  wakijeruhiwa  vibaya baada ya malori mawili kugongana  uso kwa uso . 
Ajali  hiyo imetokea  mida ya saa 12.50 jioni ya  leo  ikiwa ni dakika takribani 30  baada ya ajali ya basi la JM kupinduka eneo  la Mazome  wilaya ya Kilolo. 
waliopoteza maisha katika ajali  hiyo ambayo chanzo ni dereva  wa lori la IT lililokuwa  likisafirishwa kwenda nchi  za  kusini mwa Tanzania aliyekuwa akitaka  kulipita gari la mbele mlimani na katika kona kali . 
Hata  hivyo  dereva  wa  lori  hilo IT aliyetambuliwa kwa jina la Gody  amevunjika mguu  wake ambao umetoka katika na  dereva  na utingo la fuso wamekupa papo hapo  huku mwanamke  aliyekuwa katika lori IT akisalimika . 
habari zaidi itakujia
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu wangu we wajua sababa kwa nini tuyapitie haya.

    ReplyDelete
  2. Mungu awapokee waja wake,na majeruhi wapone haraka.

    ReplyDelete
  3. Mungu tusaidie

    ReplyDelete
  4. May god heal themmm

    ReplyDelete
  5. Mungu mwenye huruma waponye hao waliotoka salama,hali inatisha

    ReplyDelete
  6. Inna Lillah Wainna ilayh Rajiun.

    ReplyDelete
  7. Yaa Allah,pls help them

    ReplyDelete
  8. "INNA LILAH WAINNA ILAIHI LADIUN" "Hakika cc wa mwenyezi mumgu na wote tutarejea"

    ReplyDelete
  9. ee mwenyez mung 2angalie c waja wako

    ReplyDelete
  10. Webkinz is the latest online craze for kids. As a father of two young children, I know my way around this fascinating new virtual world, and it is very impressive. GOODNEWZZ

    ReplyDelete

Top Post Ad