DIAMOND, PENNY AND WEMA LIFE INAENDELEA KAMA HAKUNA KILICHOTOKEA

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku mbili zimepita tangu, mfalme na malkia wa drama Bongo, Diamond Platnumz na Wema Sepetu wakinukishe tena. Hakuna kipya zaidi ya nini kimeendelea baada ya kusambaa kwa picha za Diamond na Wema wakila raha Hong Kong.
Lakini, la uhakika ni kuwa, kwa sasa kuna mpasuko mkubwa katika kambi zao. Story za mtaani ambazo binafsi Bongo5 haijaweza kuzithibitisha ni kuwa, kuna ugomvi mkubwa kati ya Wema Sepetu na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake wa sasa.
Labla kukupdate tu ni kuwa baada ya Wema Sepetu kuachana na Diamond, ama tuseme baada ya wapenzi hao kupumzika kuwa pamoja kwa muda, Wema Sepetu aliendelea na maisha yake na ofcourse alipata mwanaume mwingine ambaye hajawahi kujulikana wazi ni nani. Diamond pia aliendelea na maisha yake na kuanzisha uhusiano na Penny.
Lakini, mitaa inasema kuwa wawili hao walikuwa wakiendelea kumegana kisela. Ndio maana yale maongezi yao ya simu yalivuja, ikiwa ni ishara kuwa walikuwa bado na mawasiliano mazuri. So mitaa inasema, jamaa anayesemekana kutoka na Wema kwa sasa, amemind vibaya mno, na tangu kusambaa kwa picha hizo, hakuna amani tena.
Picha hizo zilimaanisha kuwa, Penny hakuwa muathirika pekee wa picha hizo, bali pia Wema ameuvunja moyo wa mwanaume anayedaiwa kumpenda kwa dhati. Mashemeji na mawifi nao wametengeneza kambi zao, Team Penny vs Team Wema.
Nini kinaendelea sasa?
So far, hakuna kipya cha kuthibitisha, ukizingatia kuwa hakuna hata mmoja kati yao ameshaongea japo itafika siku wataongea, siku ambayo watakuwa wamepata maelezo mazuri ya kuushawishi umma kuhusu kile Diamond anakiita filamu.
Lakini kwa kutazama picha za Instagram za watatu hao, Diamond, Wema na Penny, maisha yanaendelea na wote wanaonekana wapo vizuri, kama hakuna kilichotokea japo kile ukionacho kwenye mitandao ya kijamii, ni tofauti kabisa na hali halisi.
Diamond
19f35498330c11e3988322000a1ddbb4_8
Kwa siku hizi mbili, Diamond amekuwa akipost picha za bling bling tu, akifanya shopping za nguo na vitu vingine vya gharama.
Wema
8a5dd4f0333511e3b59422000a9f13f8_7
Kwa mujibu wa kile alichokiandika kwenye moja ya picha zake za leo, Wema amefiwa na babu yake.
“We loved you, we love you and will always love you…. it hurts to lose such a character, you were a man of god.. always taught us how to abide by da rules of Allah… Today u are gone and it kills me inside to know dat I will nat see you again but there is a relief in me dat you are now in a better place… with da angels… because even if we couldnt see dem, but they were always around you…. I love you my babu… il aleays remember you wit your saying “babu kababuka” … oh my God it hurts…. You are always going to live in our hearts…. Rest In Eternal Peace Mzee Athmann Sumbe… im sure you are now smiling and sooo happy werever you are… A man wit a pure soul ryt here,” ameandika.
Picha nyingine inamuonesha akiwa na simu ile ile aliyopiga nayo Diamond kwenye picha zake. Inaonekana wana simu ya aina moja, Samsung nyeusi.
Penny
068dfb24332f11e388e422000a1fb6e3_7
Penny na Wakazi, jana usiku DTV
Penny anaonekana yuko poa, walau kwa picha iliyowekwa na rapper Wakazi kwenye Instagram ikimuonesha akicheza muziki kwa furaha, like nothing happened.
“I had a blast last night on the XTreme Show on DTV with baby girl @vjpenny04 & DJ Pack. Thank you so much for those who watched the show and I hope you enjoyed as much as we did.,” aliandika Wakazi kwenye picha hiyo. Ama hiki ndio kama kile John Legend alikiimba kwenye Dancing The Pain Away.

Source:Bongo5
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

27 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nice one life's goes on

    ReplyDelete
    Replies
    1. ila duh by lookin at them pics wote hao wanawake wamejichubua ila penny hana mvuto kabisa. yaan mfupi na kanene kama kimbofa

      Delete
  2. Ni kweli wako pamoja angalia mazingira ya wema alipopigia picha na diamond yale maua ya pembeni na vioo they relate.team diawema. wako juu pensil una chako.

    ReplyDelete
  3. PENNY ananuka Mdomo kama kalala na kiporo cha samaki Mdomoni,,,,

    ReplyDelete
  4. Na wewe bedui hapo juu unalipwa khaa!! Nenda kanye kwanza, wema !wema!na usisahau kuchamba.

    ReplyDelete
  5. TRU DAT MDAU,UKIANGALIA BACKGROUND YA PIC YA DIAMOND NA YA WEMA UTAGUNDUA WAKO SEHEMU MOJA..HUO UKUTA CJUI NI PAZIA YA MAUA NA MILANGO YA VIOO NI SAME SAME HAHAHAHAAAAA..HII ITAKUWA LOCATION DAY 2,DADAAADEKI....WAPI PENNY????VIWIFI JEEE?????HAHAHAAAAAAAAA....PENNY PACK UR BAGS GO AU NAWW LIPIZA JIBEBEE WAKAZI HUYO,LOL...

    ReplyDelete
  6. Ahaaaaaaaaaa corn yako inanuka..wemadiam wanatisha ndo habari ya kitaa.

    ReplyDelete
  7. WE MDAU HAPO JUU KUMA LA MAMAAKO NANI ASUCK UA CORN TEL UA SISTER TO DO SO.U HAV A BAD SMELL..........TEAM DIAWEMAAAAA

    ReplyDelete
  8. Kumamake kama unajijua wee sio Team Wema uscoment chochote,kwanin mna2ingilia malaya nye tawatomba wote mnapingana na Wema team mavi nyie

    ReplyDelete
  9. Penyy ni kizee we wakazi unakiita bebi,girl ana miaka 27 umri mmoja na vanesa mdee tena walishirik pamoja kwenye mtv,search,ile ya utangazaji nyoooi

    ReplyDelete
  10. Wambie waambie aooooo...Peny peny!! Peny ki2gani bwana,Wema ndo habari ya mjini

    ReplyDelete
  11. U guyz get alife stupid u, kazi kuka kutizama maisha ya watu is like dey giv adam bout u

    ReplyDelete
  12. We kama uangalii maisha ya watu kwenye blog ya udaku unafata nini?shem upon u,Mbuluka ww ..........team wema hapa.

    ReplyDelete
  13. na nyie kumamae zenu hamuwajui mastaa. hamuoni watu wa kuwaongelea .hao si wachafu kuoga tu.

    ReplyDelete
  14. Penny we kula hela tu ucckilize ya watu mama!!!!!! Mwache Diomond ahangaike lakini usiwe unamsamehe burebure lazima atoboke mjin shule ukija na jembe utalima lami!!!! Chezea bibi kizee penny weye!!!!!

    ReplyDelete
  15. Ila pen kijeba jmn mweeh,alivokakamaa hpo km anakunya

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeona ehee. yaan she is not pretty kama wema ingawa wote wamejichubua.

      Delete
  16. tehe teh teh day 2.
    wema kampiga picha dimonda na dimonda kampiga picha babe ake. na sare sare maua zao simu. lolll

    ReplyDelete
  17. Wore mlokomet pumbavu zemi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahaaa wote tuliocomment ukiwa mmoja wetu huh

      Delete
  18. daaaah pic ya wema na diamond zimepigwa sehemu moja wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa chezea wema wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Breakin news:penny anatolewa mahari mida hii wadau mpoooooo?

      Delete
  19. duh mdau nakuaminia lazima ww utakuwa ni wifi. maana hizi habari wamejitahidi sana kuzificha ila ni kweli. Jamani i am on wemas timu ila ni kweli jamana roho inauma Penny anatolewa mahali as we speak habari nimepata na mie sasa hivi. MAJANGAAAh kweli wanawake tunapenda ndoa. Hongera zake sasa. Mijumba hiyo ndiyo atairithi kudadadek

    ReplyDelete
  20. jamani all in all diamond mwenyewe ndo anajua what he wants..hivi bado hizi drama zinaendelea and on top he is getting old kila siku..hakui bado..

    ReplyDelete
  21. sura ya Penny, km anahara na uo mkorogo umegomaaa.......wema mureeeeeeeeeeeeeh

    ReplyDelete
  22. Penis ukiolewa jua ni mlinz tu mana ungekua mzur tungesema utakua pambo ila hy sura kma chupi chafu duh..,.. then watapokeaj mahar kwen wkt mwanaum yupo pre honeymoon?

    ReplyDelete

Top Post Ad