DIAMOND PLATNUMZ "MWANAMKE ANAYEKAMILISHA MAISHA YANGU"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Hakika hakuna atakae Bisha kuwa Mwanamuziki Diamond ni mfano mzuri wa kuigwa jinsi anavyompenda Mama yake Mzazi anafikia mpaka kwenye Show zake anaenda nae  ..leo Amepost Haya Maneno na Picha katika Website Yake:

"The most beautiful and lovable word in any language is ‘mother’
Mom is the portrait of love, care, affection and sacrifice
 for her children. She is the most important 
woman in everybody’s life, the place that a mom holds can
 never ever be taken over
 by anyone else,NAKUPENDA SANA MAMA YANGU
 KIPENZI,DAIMA UKO NA MIMI" Diamond


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

38 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. dah kumpenda mama yako si dhambi na ni vizuri na pia ni jambo la busara na kheri na baraka tele kwa mwenyezi mungu sana na inapendeza. ila namuonea sana huruma mwanamke atakayeolewa na huyu mwanaume. unless otherwise huyu mama mtu awe na busara sana yaan asipokuwa na busara full kugombania affection. yaan duh tabu mnayo wanawake wote mnaotegemea kuolewa na diamond. maana itakuwa mvutano wa aina hii mke-diamond-mama. so mwanamke ujishike sijui utafanyaje. poleni sana. namfahamu kijana alikuwa anampenda mama yake ajabu. sasa siku alipooa yaan kila atakachofanya na mkewe mama yake na jamaa lazima anajua. mkewe akipika chakula kibaya jamaa anapiga simu kwa mama yake. mama yake anamwambia usile aga unatoka kidogo njoo ule nyumbani. basi binti wa watu akavumilia akachoka akaomba separation maana kuna siku alimfuma mumewe anamteta kwenye na mama yake. yaan majanga

    ReplyDelete
    Replies
    1. we yanakuhusu nini au nd nyie mkiolewa unataka mumeo ahamishie majeshi kwako na kumsahau mama

      Delete
    2. Kati ya wanawake ambao cwataki ni pa1 na mdau wa kwanza hapo juu,yan unataka ukiolewa mme wako akuangalie ww tu amsahau mama yake!! We vip bana, ndo nyie akija mama yako mamaako unamchinjia kuku na kukenua meno asubui mpaka jion,akija mama wa mme n mwendo wa maharage na kununiana mwanzo mwisho,

      Delete
  2. yanakuhusu kwani?

    ReplyDelete
    Replies
    1. heheheheheheheeeee jiwe limetupwa gizani hilo limeshakupiga. haya wadada wa kitanzania kwa kupalilia ndoa mnakazi. namsupport anony wa kwanza. kweli kazi anayo huyo atakayeolewa. maana kuna mama wakwe na mawifi mbona kazi anayo. kila la kheri.

      Delete
    2. majangaaaaaah plusplus. tatizo huo ukoo wa diamond ilikuwa dhiki sasa diamond ndiyo wanamtegemea mbona huyo mke mtarajiwa ana kazi. maana huyo mama mkwe aka mama diamond kazi hana full kumfata mwanaye kila aendako. walah mke mtarajiwa una kazi ya ziada. kweli kuzaliwa na wazazi maskini si kosa ila kuolewa na mume wa majanga ni kosa tena wanasema kosea kila kitu USIKOSEE KUOLEWA!!!

      Delete
    3. Unaolewa unam badilikia Huyo mama mkwe na unamkung'uta piga mabao Wakati no body is watching Halafu akienda police or mwambia mwanae or Watu unasema oh mama mkwe hanipendi ananisingizia.pigilia mbali kule

      Delete
  3. Mdau wa hapo juu ukweli mtupu mwenzangu mume wangu yuko kama diamond na mamake sikufichi full majanga ukiwa nje hutaelewa yan najuta kusikilizwa husikilizwi wewe maamuz yote atoe mama na usiombe akakychukia ndoa utaita ndoano mbonaaaaa

    ReplyDelete
  4. Huyo mama atakaa kwenye nafasi kama na mke atakuwa nafasi yake biashara ya kuingiliana majukimu haitakiwi diamond na vicenti vyake anatakiwa apate mtu mwenye msimamo sio kupapagika kwani mama si mamake na si anashughuli zake.sema wanawake wenzangu wengi mnakuwa hamjiamini simama kama mke.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Si rahisi kama unavyodhan mwanaume wa hivi hafanyi chochote bila kumwambia mama yake tena mnaweza mkapanga mipango yenu vizuri mkakubaliana utekekezaji wake ndo shughuli inapokuja kwani mama mtu mpaka akubali akikataa wanapanga wao mengine kiukweli inaudhi sana na kutia hasira inakuwa kama anawapangia nyie jinsi ya kuishi tena huendabali zaidi akitaka yeye apendwe na kusikilizwa kuliko mke kijana akiwa mbishi hulalamika mnoo na kijana anavyompenda mamake hata taka kumuona na huzuni ndo hapo sasa ndoa inapoingia kizungumkuti kwani mke nawe wivu utakujaa kwanin mama mkwe asikilizwe kuliko wewe hapo ndo bifu zinapoanza ndo ilivyokuwa kwa wema na mama dai migogoro ilikuwa haiishi

      Delete
  5. Mama wa dimondo hanaga shida na wakwe zake hilo namtetea kabisaaa,huwa anasapot ile mtu mwanae anapenda,hawa vizabinabina mawifii ndo janga la kitaifa wanaosabbisha sie tusipate raha duniani n kumuumiza ndugu yao,maisha ya ukwen siku zohe hutakiw kuigiza km spido ishi vile Mungu alivyokujalia nyoko weee

    ReplyDelete
    Replies
    1. na hao mawifi ni watu wa kuwa nao makini sana. ni vyema ukapata nao ila wasikuzoee sana. yaan wakishakuzoea sana na heshima inapungua. yaan kama hilo pozi la birthday party la kuwaingiza hadi chumba unacholala na diamond wako imevuka mipaka. hao mawifi nao waswahili lazima waheshimu na kujua mipaka yao. ila mwenzetu kazi unayo kiroho safi tu. mimi na wifi zangu tunasalimiana vizuri na kuheshimiana ila ushoga wala sitaki maana mawifi wengi ni MAWIFI UYOGA haukawi kuoza.

      Delete
  6. Hii poz ya hapa tofaut na alivokuwa analishwa keki hapa imetoka moyon hasa

    ReplyDelete
  7. Kuna Mambo Mengi Ya Kumshauri Diamond Kuhusu Muziki Yt Hamyajui Mnaongelea Ndoa Tu Utoto Mtupu Chao...

    ReplyDelete
    Replies
    1. ndoa na yenyewe ni jambo jema. kwan diamond yuko chini ya mika 18 had maongezi ya ndoa kwake yawe ya ajabu. kumshauri kuwa na ndoa na mke mwema nayo ni sehemu itakayowezesha azidi kufanikiwa katika muziki. ww ndiyo wale wale vijana waharibifu mnaozaa ovyo ovyo kwa kuogopa majukumu. ukute hapo ww ni senior bachelor!! huoni hata aibu. maza fanta

      Delete
  8. DIMOND LEO NIMEKUKUBALI KWANI BI MKUBWA HUWEZI MFANANISHA NA MTU YEYOTE YULE KWA WEMA ALIOKUTANGULIZIA.
    HAWA WANAWAKE TUNAOWAITA WAKE AU WACHUMBA WENGI WAO SHUKRANI HAWANA WEPESI WA KUSAHAU NA WAGUMU WA KURIDHIKA NA ROHO MBAYA HATA HUWAFANYIE NINI TOFAUTI NA MAMA ZETU AMBAO WENGI WAO NI WATU WA KUKUMBUKA FADHIRA, DUA NJEMA ZA KUONGEZA BARAKA.
    MAMA AMESHANILILIA SANA WAKATI NAUMWA NAKUFIKWA MADHIRA MENGI YA DUNIANI LAKINI WANAWAKE HUNILILIA PINDI NINAPOWAPIGA KIBUTI NA WANAPOTAKA KURUDI.
    AKUFAYE KWA DHIKI NDIYE RAFIKI.
    BY hb gangster

    ReplyDelete
  9. Na baba yake je au kazaliwa bila baba naona hatuoneshi mazuri anayomfanyia baba yake au anabagua wazazi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama baba hakuonekana katika makuzi yake leo afate nini? mwache mama wa watu ajidae kahangaika kulea mwanaye pekeyake baba kazi yake ilikuwa kuweka mimba tu halafu akasepa. pole baba diamond u wish you knew then ungekuwa a responsible father na ww leo ungekuwa unajilia mali za mwanao. BIG UP mama diamond. mchumia juan hulia kivulini.

      Delete
  10. With no offence.. Jamani wema alikuwa anajua kumvisha huyu mama..
    Alikuwa anamchagulia pamba za maana.. Sasa naona penny sijui anashindwa kuhakikisha mkwe anaunyuka pamba vizuri..? Mmmh ameshuka sana kwenye mavazi tuache utani.. Nilikuwa napenda sana alivyokuwa anavaa zile enzi za wema.. I repeat no offence, diamond kama unaweza mtafutie mama yetu designer kwenye special occassions.. Sisemi kama hapendezi., no but she deserves more than that.. Kwani na yeye si ndio mama wa "wasafi".. Apige pamba kama zile enzi za wema bana.. Alikuwa anapendeza saaaaaana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haswaaa umenena mdau maanake alivyovalia hapo kama katoka kigoma leo

      Delete
  11. msiwaze sana! mwachiene nungu kwa kila hitaji lenu.

    ReplyDelete
  12. Exactly. Asilimia 98.5 ya MIJIKE ya siku hizi ina roho mbaya na haina shukrani. Nakufagilia diamond mpende sana mama.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na hayo madume yanayoolewa ndio hayana shukurani kabisa na hata huruma

      Delete
    2. WANAWAKE MNAO CHANGANYA UMASKINI NA THAMANI YA MTU HAMJIELEWI LABDA SABABU HAMJUI DHIKI, TABU MASIMANGO, KUPUUZWA AMBAKO MAMA WENGI HUPITIA, NA MACHUNGU WANAYOBEBA JUU YA WATOTO WAO. NASIB KUMPENDA MAMA YAKE NI SAWA KABISA, WALA HIYO SIO SABABU YA KUTOMTHAMINI MKE WAKE. KILA MMOJA ANA DARAJA YAKE KWAKE NA HAZILINGANI KABISA. KUTOMJALI MWENZA INAWEZA SABABISHWA NA TABIA YA MWANAMUME MWENYEWE, HATA KM HANA MAMA ANAWEZA KUWA HIVYO. HAMJAKUTANA NA WANAUME WEHU NYIE. WAKATI MWINGINE MTU ANAWEZA KUBEBESHWA MZIGO SIO WAKE KISA NI MTU WA KARIBU.

      HALAFU NYIE BADO HAMJAZAA TULIENI MWACHENI MAMA WA WATU NI HAKI YAKE KABISA, WAKATI ANAADHIRIKA NA MWANAE MLIKUWEPO? JAMAN TIZAMENI WANAWAKE WENZENU WANAVYO TAABIKA NA WATOTO. MUWE NA HURUMA LOL.

      KUMBUKENI: HAKUNA KABURI LA BABA ALIEFARIKI KWA UZAZI DUNIANI
      LAKINI YA KINAMAMA YAMEJAA TELE!!

      Delete
  13. HUO USENGE! UTAMTETAJE MKEO NA MAMA YAKO.

    ReplyDelete
  14. Wadau mama ana nafasi yake na mke ana nafasi yake,tusichanganye habari ila wapende wote,ila usimseme mkeo na mama yako kwani hakukuchagulia yeye,huo utakuwa ni usengenyaji

    ReplyDelete
  15. Mke wako ni rafiki yako. Na ni mpita njia tu. Saa yoyote anaweza kukuacha. Hususani yale mamama yasiyokuwa na utu na ubinadamu. Mama yako ni damu yako. Anajua uchungu wako. Hongera Diamond.

    ReplyDelete
  16. Diamond ongeza upendo kwa mamaako,angeza,ongeza zaid na zaid wanawake wa ck hiz wapuuzi,ukija kufulia urudi uswahilin hutamwona wema joket wala huyo pensel,utawatongoza mpaka mabek 3 nao watakukataa ila mama atauwa na wewe mpaka unaingia kaburini,ukiona mwanaume anagombani na wanawke ujue kuna visent,huyo pensel usimwone anatishia kuroga watu sahz,visenti vikiisa mbio zake kama vile kimondo,chezea shetan wewe

    ReplyDelete
  17. Ni kweli wadau. Wanawake wa siku hizi ushuuuuuu............uzi mtupu. Yani wanakera kwelikweli. Wanajifanya wanajua kila kitu. Halafu yanakaa kudanganyana heti kumshika mume. Pumbazu zenu. Nyoko nyie. Diamond Big Up

    ReplyDelete
  18. Hhhhhnnnnnn. Tena siku hizi yanaona bora kusagana. Du pole zao.

    ReplyDelete
  19. HAAA AAAH ULIONA WAPI MTU AKWA NA MKWE MSWAHILI AKWA NA MAISHA MAZURI ??????

    ReplyDelete
  20. Hapo ndipo diamond anaponikosha,safi sana Diamond keep it up,napenda unavyompenda mama yako....ila kwa mengine tutazidi kukosana

    ReplyDelete
  21. Mhh kweli wanawake wa sasa ni presure tupu,hawaaminiki hata kidogo

    ReplyDelete
  22. Pensil amefuata pesa ikiisha anasepa. ndo maana unaweza kuta hata diamond akijamba pensil anamwambia pole sweet haujaumia kweli wizi tu hamna mapenzi.

    ReplyDelete
  23. Kweli manamake ya sasa ni majizi na majambazi . Hata wangu chafya kidogo pole na shikamoo zilikuwa haziishi, nilipokuwa nazo. Lakini zilipopungua we hata za asubuhi sipati.

    ReplyDelete
  24. Nyie wascha hamna lolote,mama ndo kilakitu

    ReplyDelete
  25. unamuuliza ili iweje wewe mwenyewe kiswahili unachapia toa ujinga hapa kwani kumaliza f4 ndio ujue kingereza wewe umefanya mangapi baada ya kujua kingereza pumbfu

    ReplyDelete

Top Post Ad