RUSHWA YA NGONO ST.JOHN'S UNIVERSITY DODOMA INATISHIA MAISHA YA WANAFUNZI WA KIKE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Chuo cha st.John's pale Dodoma kuna tatizo kubwa la walimu kuwakamata wananfunzi na kuwalazimisha ngono .Nimeshuhudia mwanafunzi last week amekamatwa na mwalimu kamwambia ajisalimishe .Kamtumia sms na calls kum harrass huyu binti na mwisho ametoa matokeo akiwa ameamua mwanagunzi huyu asimalize chuo na inabidi arudie mwaka mzima .Ushahidi uko wazi umekuwa documented hatua imechukuliwa baada mtego kwa kushirikiana na jeshi la polisi , kwa mumwachia mwanafunzi akubali matakwa ya mwalimu , alimpigia simu mbele uongozi wa polisi na kumwambia yuko tayari kwa ngono na bila ajizi mwalimu aliitikia kwa bashasha na aliwahi kituoni akamchukia mwanafunzi na kabla hajaondosha gari alikamatwa baada ya mahojiano ya siku 2 mwalimu kaamua kubadilisha matokeo ya mwanafunzi baada ya supplementary na sasa mwanafunzi ata graduate mwezi ujao . 


Naomba msaada toka kwenu juu ya ufumbuzi wa hilli jambo huko vyuoni hali ni mbaya na rushwa ya ngono imeshika kasi .What is the solution to this problem ?
From Mdau

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Suluhu ni kuacha mahusiano na wakufunzi hao kutoshughulika wala kuwachekea kabisa...lengo la lako hapo ni kusoma pekee

    ReplyDelete
  2. wanafunz wavae nguo za stara tu,,tatizo litaisha,,mbna muslim universty of morgoro tatzo hlo hakuna,,na kuna pini za ajabu,,ila wanavaa stara,hawatamanish km vyuo vngne

    ReplyDelete
  3. wewe wacha upuuuzi wako huo wa kuchafua chuo,watu wameshakujua sas kama ishu umefikisha police then unaomba solution ya nini wacha uhanithiii wewe sisi tuko sjut miaka700 na tunarespect chuo since prof meshack up to date

    ReplyDelete
    Replies
    1. mh! mdau una hasira. na watuache na sjut yetu. wenyewe tunaipenda miaka 800

      Delete
  4. Tatizo kubwa zaidi ni mentality. Nimesome chuo che kikriso na tulivaa nguo za heshima lakini walimu wa kiume bado tu

    ReplyDelete

Top Post Ad