DOGO JANJA ATIMULIWA MTANASHATI ENTERTAINMENT-WALIMLETA KWA NDEGE SASA WAMRUDISHA KWA BASI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii chipukizi wa muziki wa Hip Hop, Abdulaziz Chende maarufu kwa jina la Dogo Janja, ametimuliwa katika kundi la Mtanashati Entertainment.
Akizungumza na Mtandao huu, kiongozi wa Mtanashati Entertainment Ustaadh Juma Namusoma alisema kuwa sababu za kumtimua Dogo Janja ni utovu wa nidhamu, unywaji pombe, kutokwenda shule pamoja na uvutaji bangi.

Aliongeza kuwa tayari amempatia nauli ya basi shilingi 90,000/=  kurudi nyumbani kwao jijini Arusha alipotokea. Dogo Janja alitua kwa mbwembwe jijini Dar es Salaam kwa ndege Juni 22 mwaka jana akitokea Arusha na kujiunga na kundi hilo.


Awali alikuwa katika kundi la Tip Top Connection linaloongozwa na Madee lakini ilitokea kutoelewana kati yao na kurudishwa kwao Arusha. Alipopigiwa simu na Mtandao huu, Dongo Janja alidai kuwa bado ni memba hai wa Mtanashati Entertainment.
-GPL

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndo atatia akili

    ReplyDelete
  2. Ujanja wote utamtoka

    ReplyDelete
  3. Makundi ya watu wazima ndo yaamharibu huyu dogo...Tunda la msimu

    ReplyDelete
  4. yaan mtt mdogo ndiyo yaleyale ya kina lulu badala wasome wanaanza mambo ya ukubwa wangali bado watt. matokeo yake wanapoteza kabisa muelekeo

    ReplyDelete

Top Post Ad