DOKII APEWA MADONGO KWA TABIA YAKE YA KUJIPENDEKEZA KWA RAIS KIKWETE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa sinema za Kibongo, Ummy Wenceslaus 'Dokii' amewakemea watu wanaomsema kuwa anajipendekeza kwa Rais Jakaya Kikwete na kuwataka waache kwani yeye hajipendekezi.

Akizungumza na Kipindi cha Action & Cut cha Channel Ten hivi karibuni, Dokii alisema kutokana na jinsi alivyoshiriki katika kampeni mbalimbali za Kikwete hadi kupata ajali na kuumia mkono, wambeya wamekuwa wakimzushia kuwa alijipendekeza na hakupewa msaada wowote alipoumia.


“Nawashangaa wanaosema kuwa najipendekeza kwa JK, eti wanasema nilitelekezwa. Kwa taarifa yao tu ni kwamba, JK aliposikia nimepata ajali, alituma madaktari Wazungu kuja kunihudumia.




“Halafu hata wakisema najipendekeza pia naweza nikakubali, nisipojipendekeza kwake wanataka nikajipendekeze  kwa nani? Najua hata wao wanatamani kuwa karibu na viongozi kama mimi,” alisema


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu ni anakula unga siku hizi au..mbona anatisha..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yaani hata mimi simuelewi Doki siku hizi kaa mwehu!

      Delete
    2. Unga ni kitu cha ajabu sana check alivyokiwa chizi analopoka ovyo.

      Delete
  2. Findng KIK kah kama kakibwengoo

    ReplyDelete
  3. Huyu ni oyaaa!!.

    ReplyDelete
  4. Mpeni japo cha kwenye ukucha

    ReplyDelete
  5. Utaishia kufilwa mkundu kwa kujipendekeza kwako.

    ReplyDelete
  6. Huyo unayejipendekeza kwa siyo mtu!

    ReplyDelete
  7. hana mpya wala adabu huyo kama ni yai viza vile

    ReplyDelete
  8. Rais wetu wanojipendekeza yy anawalamba 2 mpaka wafurahi

    ReplyDelete

Top Post Ad