BINTI WA MIAKA 17 AJITIA KITANZI MPAKA KUFA MARA BAADA YA WAZAZI WAKE KUMKATAZA ASITUMIE FACEBOOK ILI AZINGATIE MASOMMO ZAIDI

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Binti wa miaka 17 nchini India katika jiji la Parbhani amejiua baada ya wazazi wake kumkataza asitumia ukurasa wa Facebook ili apate muda wa kuzingatia masomo aliyokuwa akishindwa vibaya darasani tofauti na ilivyokuwa kabla yajaanza kutumia Facebook ambapo alikuwa akifaulu.

Aishwarya Dahiwal alikutwa ananing'inia chumbani kwake baada ya kuzuka mabishano baina yake na wazazi wake ambao 
walikuwa wanakerwa na muda mwingi anaoutumia kwenye mtandao wa Facebook na mazungumzo marefu kwenye simu yake ya mkononi.

Gazeti tando la habari za teknolojia, Gawker limeripoti kuwa marehemu aliacha ujumbe usemao kuwa asingweza kuishi bila mitandao ya kijamii na moja ya yaliyoandikwa humo ni pamoja na kuuliza, "Je, Facebook ni mbaya hivyo?" "Siwezi kuishi katika nyumba yenye vizuizi vya aina hii na siwezi kuishi bila Faceboook" na hivyo kuwalaumu wazazi wake kwa hatua ya kujiua aliyoichukua.

Kama ilivyo kwa wazazi wowote ambao kwa kawaida wameyaona maisha na kufahamu mbinu za kukabiliana nayo, walikuwa na nia njema ya kutaka kumsaidia mtoto wao aweze kufanikiwa lakini mabadiliko ya kila kizazi yanayokuja na changamoto zake ambazo hazina vigezo wala vielelezo vya namna ya kumsaidia mtoto akabiliane navyo vyema hali akiyamudu maisha kwa uwiano, walijikuta katika huzuni ya kulazimika kukubaliana na jambo ambalo hawakutarajia lingetokea.

Bila shaka ujio wa internet umebadili maisha ya vijana na familia kwa ujumla. Pamoja na kuwa na faida nyingi kwa wale wanaojua namna ya kuitumia vyema, bado madhara na hasara zake ni kubwa ambazo zinaonekana dhahiri kwenye mahusiano ya aina zote iwe kikazi, kifamilia, kijamii au hata kutoka kwa mtu msiyefahamiana kabisa ila kwa kuwa amekuona kwenye moja ya mitandao ya kijamii, anaweza kukutisha na hata kukudhuru.

Jirani yangu alinisimulia jinsi rafiki yake alivyoibiwa nyumbani kwake baada ya kuandika kwenye ukurasa wake wa Twitter kuwa baada ya uchovu wa kazi wiki nzima, amekwenda kubarizi ufukweni na atarudi majira ya jioni hivi, kwa kuwa anwani yake ilikuwa kwenye wasifu wake (profile details) basi taarifa hizo zikawa maelezo ya kutosha kwa wezi kufanya watakavyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kufaga tu utaenda kuikuta hyo fb mbele ya safar...utawpta wa kuchat nao kina lusifa,makata na kina maimuna wenyew wadau wa fb vile vile

    ReplyDelete
  2. Hata hujakosea bila shaka una asili ya kihehe ya kujinyonga.

    ReplyDelete
  3. Ulipata basha kwenye facebook ww huna lolote..ulivokatazwa ukajua hutogegedwa tena......minyege ndo imekuua bitch

    ReplyDelete
  4. Hata huko unapoenda fb ipoo..

    ReplyDelete
  5. Ni bora afe kuliko kukaa na mtoto asie na elimu maana siku ya cku nimzigo kwa mzazi

    ReplyDelete
  6. Ha!ha!ha! Wabongo kwa upambe kha!

    ReplyDelete

Top Post Ad