GOSBY NA WIMBO WAKE WA "BABY MAKING SWAGA"..NDANI YA MIXTAPE NUMBER MOJA DUNIA-VOTE PLIZ

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamuziki wa Tanzania Gosby kupitia wimbo wake wa Baby Making Swaga Ameingia katika kinyanganyiro cha Mixtapes number moja dunia inayotolewa na ya Coast2Coast Vol 251 ya nchini Marekani....Katika mchakato huo Nyimbo 40 zimeingia na zinapigiwa kura zibaki 20 ambazo ndio zitafanyiwa hiyo Mixtape ya Dunia....Kwa sasa nyimbo ya Gosby inashika number 9 ..Mwisho wa kupiga kura ni Tarehe 8 mwezi huu ..so lets vote abaki kwenye 20 bora ...
Bonyeza hapa kumpigia Kura: http://coast2coastmixtapes.com/audiodetail.aspx?audioid=270668
Ili kupiga kura just Sign with your facebook Account or Twitter ...

Pia unaweza sikiliza huo wimbo ukishabonyeza hiyo Link

Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad