HAWA NDIO WASHIRIKI WANNE WANAO IWAKILISHA TANZANIA TUSKER PROJECT FAME

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimae Washiriki watakao iwakilisha Tanzania katika Mashindano ya mziki yanayo andaliwa na kinjwaji cha Tusker ,Tusker Project Fame wamejulikana , Washiriki hao ni  Angel, 23 yrs, Hisia, 21 yrs Tanah, 21 yrs na Dubson, 25yrs. Washiriki hao watakaa katika Academy ya music huko Nairobi kwa kipindi fulani huku wakichuana kupata washindi...Mashindano hayo ndio yamezaa wakali katika Bongo Flava kama Hemed na Peter Msechu.
Stay Tuned we will be Updating you on Their Progress
Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni wazuri lakini huwezi kufananisha na wale wa uganda, waimbaji TZ ni wengi tatizo lazima ujue English hapo ndio kazi, tutaishia kupata ambao hawana viwango, wenye viwango hawajui kimombo. mbona kazi!!

    ReplyDelete
  2. Kingereza si kigezo kabisa....

    ReplyDelete
  3. Pita msechu alikuwa hajui kingereza vizuri..lakini ndio msanii bora wamashindano hayo toka shindano lianze

    ReplyDelete
  4. Kiukweli wabongo bado sanaa, tena kwa kila ki2.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hao wanawacndikiza wazao, puumbaafuuu!

      Delete
    2. Mbona watanzania mna chuki sana jaman aliyeturoga anajuta huko aliko ptuuuu badala muwasupport wenzeni ndo kwanza mnawaona hawafai

      Delete
  5. Aaaah! Sasa kama hawafai 2cseme we vp, c mpira c mashindano yeyote, hiyo siasa ndo usisema imeoza kabisaaa. Puumbaafuuu!

    ReplyDelete
  6. Mbwa ww...ungeenda ww bac. Mbona piter msechu alifika mbali. Nyoko ww

    ReplyDelete

Top Post Ad