IRENE UWOYA "NIMEAMUA KUACHA MAMBO YA KUIGIZA MOVIES"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji Irene Uwoya ambae alipata tuzo ya Steps kama mwigizaji bora kike 2012/2013 amethibitisha kuacha kuigiza movie kwa sasa ili kufanya kazi ambayo ameianza hivi karibuni.

Namkariri akisema: “Nimeamua kuacha mambo ya movie na kuwaachia wengine, haya maamuzi nimeyafanya kama miezi sita iliyopita… Mara ya mwisho kuigiza ni zaidi ya miezi sita iliyopita pia.”

Irene ambae ni mama wa mtoto mmoja kwa sasa anafanya show ya TV ya kusaidia Watanzania wanaoishi kwenye nyumba ambazo ni mbovu au hazina mahitaji muhimu yanayotakiwa kwenye nyumba.

Ni show ambayo haitahusika kujenga nyumba bali kuzirekebisha kwa gharama za mamilioni kwa kutegemea ubovu wa nyumba yenyewe, ambapo Irene amethibitisha hakuna kiwango cha mwisho cha pesa kama bajeti ya kutengeneza nyumba moja bali lengo ni kukarabati nyumba ikamilike.

Movie alizocheza mpaka sasa zinafika 40 lakini za kwake ni nne tu na amekiri kwamba kuacha kwake kuigiza hakuta mshushia kipato chake cha siku zote ambapo kwa movie moja ya kwake mwenyewe alikua anaiuza mpaka kwa milioni 35.

Show yake ya TV imeshaanza kuonekana Tanzania pamoja na kupata wadhamini ambao watamuwezesha kwenye kazi hii kubwa ya kupokea maombi ya Watanzania mbalimbali ambao wanahitaji nyumba zao zirekebishwe bure, kupitia kipindi hicho cha TV.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

22 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Aseme anaona aibu kuajiriwa na wenzie waliosimama wanamakampuni yao.! Hata nje cjackia muigizaji anastaaf tena kwa umri huo!! Na hicho kipindi wadhamin ndo wanamuwezesha otherwiz acngeweza...

    ReplyDelete
  2. Good,kila kitu plan mama

    ReplyDelete
  3. Umenisikitisha sana,nilikuwa shabiki wako mkubwa,binafs sjui ninani atachukua nafasi yako ya kumkabili JB ktk uigizaj kama ulivokuwa nafanya wewe.

    ReplyDelete
  4. Nakupenda sana irene natamani uwe wangu wife ziku za usoni nawish utakuwa wangu ila nakupa bigup kwa kuendesha kipindi chako wife.

    ReplyDelete
  5. Ni aibu tu c kingine, inshort amepoteza mvuto wote na hana hadhi tena umeporomoka mama!

    ReplyDelete
  6. wacha uzushi dada!

    ReplyDelete
  7. Poor Irene,kwa mafanikio gani uliyopata mpaka ustaafu mapema hvyo?:D duuh.....umeshayachezea maisha tena,shule huna.,mvuto huna tena katika industry,,,full majanga

    ReplyDelete
  8. Poor Irene,kwa mafanikio gani uliyopata mpaka ustaafu mapema hvyo?:D duuh.....umeshayachezea maisha tena,shule huna.,mvuto huna tena katika industry,,,full majanga

    ReplyDelete
  9. Woooww big up irene do it achana na manyang'au yasio isha maneno dunian hapa

    ReplyDelete
  10. Kila mtu akisoma dunia hii c patakua pata mshike?? Do wot u fil ireeene

    ReplyDelete
  11. Humu kumbe glob mpo wengi

    ReplyDelete
  12. Chenye mwazo hakikosi kuwa na mwisho tunashukuru kwa uamuzi wako ingalibado tulikuwa tunahitaji mchango wako. by konye boy

    ReplyDelete
  13. Hongera natumaini kipindi kitawasaidia watanzania wengi,bora ww kuliko hawa wanao andika utumbo kuhusu ww mungu atakuonyesha njia nautafanikiwa sister. big up!

    ReplyDelete
  14. MTU AKITAKA KUSAIDIA MNASEMA KACHEMSHA HANAMWALEKEO,minaona mnaka usenge kwenye damuzenu na madocta wenu mnawajua bora mwende mkapewe dahwa..

    ReplyDelete
  15. Laiti ningelikuwa mwanaume mke wangu wa Kwanza angelikuwa Wema Sepetu wa pili Irene Uwoya watatu Rayu nawapenda sana hawa wadada so beautiful! Good luck Irene

    ReplyDelete
  16. Irene ni mzuri sana na anajua sana kuigiza ila alifanya makosa sana kuonyesha kuwa yeye pia ni changudoa mrahisi sana; vijana wote wapitiaji wa wasichna wamekuwa wanampitia kwa urahisi kuaniza Platinumz na hadi sasa huyu Manaiki, ilhali ikijulikana kuwa yeye ni mke wa mtu. Ni afadhali kweli aachane na movie kwa vile hana jina tena kule. Usanii wowote ni jina na uvutaji wa mashabiki, ukishachafua jina lako basi umekula wa chuya. Irene amechafua jina lake sana miaka hii michache iliyopita wakati akiwa juu, huenda ndiyo laana ya mme wake. Matokeo yake ameporomoka kama jiwe litokalo mlimani kiasi kuwa amepoteza mashabiki wengi sana. Kwenye show za TV huenda kukawa na nafuu kwake vile kutategemea sana wadhamini kuliko washabiki.

    ReplyDelete
  17. i luv u irene mungu pamoja na wewe

    ReplyDelete
  18. wasenge wametumwa na mungu waho shigongo ..kumamamye maye zenu wote mnaomponda ...na mkibishana na mie nawachapia mama zenu

    ReplyDelete
  19. big up ccta..mungu akutangulie...luv u xana.

    ReplyDelete

Top Post Ad