KTN’S MOHAMMED ALI OF JICHO PEVU AND JOHN ALLAN NAMU HAVE BEEN SUMMONED BY CID OVER KDF XPOSE

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

KTN’s top investigative journalists Mohammed Ali of Jicho Pevu and John Allan Namu of the Inside Story have been summoned by Criminal Investigative Department (CID) today , to shed more light on how Kenya Defence Forces (KDF) looted at Westgate Shopping Mall and how the terrorists escaped as purpoted by their famous Jicho Pevu investigation . According to police sources, the two who released a clip showing KDF soldiers looting and drinking beer will be questioned on how they accessed the clip which has damaged the reputation of KDF. 


According to Jicho Pevu all the terrorists escaped after KDF went for a looting exercise and up to now police are y et to arrest anybody who was directly linked to the attack where over 7 0 people died and hundreds injured. In their expose, Mohammed and Namu said KDF tried all means including bringing down the building and destroying things in the mall to hide the evidence of looting. More to follow…


Udaku Specially Blog
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ADMIN vipi tena hapa utu translate wangu mana tumetoka patupu, na jicho pevu anaongea kiswahili vipi habari ya kingereza hapa ama ndio copy na ku paste tuandikie lugha ya nyumbani......... kafanya je wamemkamata kwa kuongea ukweli AMA VIPI

    ReplyDelete
  2. Aliekuambia ukimbie umande nani. ishakula kwako. shule ni shule hata ya kata ukkituliza kichwa utaelewa tu.

    ReplyDelete
  3. AHHHHHHHHHH KUMA WEWE 1.57PM UMETOKA KAPA NA WEWE MBONA UJATA TRANSLATE

    ReplyDelete
  4. Siku hizi kuna tabia kwenye mitandao ka kuandika matusi ya kama anon 2:06. Hivi mna matatizo gani? From no where mtu unaandika matusi. Mnaudhi sana

    ReplyDelete
  5. waandishi wa habari za uchunguzi Mohammed Ali Jicho Pevu ya Yohana na Allan Namu za hadithi ya Ndani wamekuwa aliwaita na Idara ya Mauaji ya Kimbari ya upelelezi (CID) leo, kumwaga mwanga zaidi juu ya jinsi ya Kenya Defence Forces (KDF) kuiba vitu vingine katika Mall Westgate Shopping na jinsi ya magaidi alitoroka kama purpoted na uchunguzi wao maarufu Jicho Pevu. Kulingana na vyanzo vya kipolisi, wawili ambao iliyotolewa cha picha ya kuonyesha askari KDF uporaji na kunywa bia watahojiwa juu ya jinsi ya kupatikana cha picha ya video ambayo ina kuharibiwa sifa ya KDF.


    Kulingana na Jicho Pevu magaidi wote alitoroka baada ya KDF alikwenda kwa ajili ya zoezi uporaji na hadi sasa polisi hawakuweza kumkamata mtu yeyote ambaye alikuwa moja kwa moja wanaohusishwa na shambulio ambapo zaidi ya 70 watu walikufa na mamia kujeruhiwa. Katika zao nje, Mohammed na Namu alisema KDF alijaribu njia zote ikiwa ni pamoja na kuleta chini ya ujenzi na kuharibu vitu katika maduka ya kuficha ushahidi wa uporaji. Zaidi kwa kufuata

    ReplyDelete
    Replies
    1. ASANTE KWA KUTUMIA GOOGLE TRANSLATOR

      Delete
  6. Wewe pia kilaza! Kama hujui kausha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tetehhhh,umeona eeeh!!! Pyuuuu,kwanza ajifunze singular & plural khaaaa

      Delete
  7. Hili nililitegemea kutokea baada ya ripot ya MOHAMMED ALI kutoka..all in all wanachojaribu ni kujisafisha tu coz ripot sio ya kutunga ina ushahid wa picha..

    ReplyDelete
  8. Watanzania wengi ukishawawekea kichwa cha habari chenye maelezo ya kiswahili afu ukatiririka kwa kizungu uwa wana kasirika sana Adm,naomba uwe unaziweka kwa lugha mbili ili na wale wenzangu na mimi wanaokalia mawe na kukaa wiki3 darasani mwalim hajafika wawe wanaambulia kitu

    ReplyDelete
  9. Guyz if u not understand english plz back to school ok.

    ReplyDelete
  10. KUMA NYIE KINGEREZA SIO NDIO KUSOMA WANGAPI WAMEFIKA CHUO NA KINGERENZA HAWAJUI BUNGENI WALE WABUNGE WENU NAO VILAZAAAAAAAAAA

    TATIZO WAMJATEMBEA MKAJA NCHI AMBAZO KINGEREZA NI USENGE WATU WA SCANAVIA FRANCE NA CHINA JAPAN WANAHESHIMU LUGHA ZAO SIO NYINYI WATAZANIA MNABEZA KISWAHILI
    MNATAKIWA KUWA PROUD NA KISWAHIL HUKU NCHI ZA WATU WENGINE TUNASOMA LUGHA ZAO MPAKA TUNASAHAU ICHO KINGEREZA MKUNDU CHENU NA TUNAPATA KUINGIA DARASANI KUJUA LUGHA ILI MAMBO YAENDE SIO NYINYI WATZ WASENGE MNAOBEZA KISWAHILI NA KISWAHIL KINAONGEREKA DUNIANI KOTE UTAMKUTA MTU ANAONGEA KISWAHIL BADO MPO KWENYE UKOLONI WA BRITISH KUMA NYIE

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sasa matusi makuuuubwa ya nini? Kama hukusoma basi hukusoma, kubali mengune yatakupita. Hata hicho kiswahili chenyewe kiboooovu!!!
      Vilivyo, kama huna elimu ni sawa na ugonjwa wa saratani.
      Utakufa ubongo wako umeutumia chembe tu.... Kutoa matusi!

      Delete
  11. waandishi wa habari za kiuchunguzi wa KTN’s Mohammed Ali wa kipindi cha Jicho Pevu na John Allan Namu mjuzi wa habari za ndani hivi sasa wanashikiliwa na kitengo cha uchunguzi wa makosa ya jinai cha nchini Kenya (CID) ,ili kutoa ufafanuzi zaidi ni kwa insi gani jeshi la Kenya (KDF) limehusika na uporaji katika jengo la Westgate Shopping Mall na kwajinsi gani magaidi wale walitoroka kama ilivyoripotiwa kwenye kipindi chao maarufu cha kiuchunguzi cha Jicho Pevu . kutokana na vyanzo vyetu vya polisi wawili hawa ambao waliachilia kipande cha video kinachoonyesha wanajeshi wa Kenya wakichukua vitu na wengine wakinywa bia watahojiwa ni jinsi gani walizipata video zile ambazo zimelipaka jeshi la Kenya matope


    kutokana na taarifa ya Jicho Pevu magaidi wote walifanikiwa kutoroka baada ya KDF kuingia kwenye zoezi la uporaji na mpaka sasa polisi hawajafanikiwa kumkamata mtu yeyote ambaye anahusishwa na shambulio la kigaidi lililopelekea watu 70 kupoteza maisha yao na mamia kujeruhiwa . katika kufichua uozo wa wanajeshi hao Mohammed na Namu walisema KDF walijaribu mbinu zote za kuficha uovu wao ikiwa ni pamoja na kubomoa sehemu ya jengo hilo na kuharibu vitu ili kuficha ushahidi wa uporaji walioufanya....habari zaidi zitaendelea kuwajia …

    ReplyDelete
  12. Asante xana mdau wa ukweeh.

    ReplyDelete
  13. Haya funngua link hii na make maney..
    http://www.getpaid4visits.com/index.php?refcode=14827

    ReplyDelete

Top Post Ad